Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

Usalama huwa inatakiwa iwe kazi ya akili zaidi badala ya kutunisha misuli.
Alafu hao jamaa wa TISS ndo wamechagua kaunda suti za fundi sudi ndo kuwa jezi zao? Utamafananishaje na mtu anauevaa gwanda full cadet. Buti kubwa... Tumia akili
 
Huo mkanganyiko unatokana na ukweli kwamba huwa hawatakiwi kuwepo katika events nyingi wanazohudhuria
Fuatilia sitting arrangements siku Kuna uapisho Ikulu. Nani anaanza na Nani wa mwisho Nani abakaa kulia au Kushoto mwa mwenzake
 
Idara za Usalama wa Taifa na Uhamiaji sio sehemu ya jeshi. Ni Taasisi za Kiraia, hazipaswi kulinganishwa na majeshi.
Wakuu hope mko poa

Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS)

Karibu mtujuze mnaojua
 
Wakuu hope mko poa

Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS)

Karibu mtujuze mnaojua
Kwan ulisha skia wap nchi iko chini ya usalama wa taifa zaidi ya jeshi,,, swali lako Lina kaupuuzi kdgo japo unahitaji kufahamu. Jeshi linaongoza sekta zote za usalama ikiwemo
1. Askali Polis
2. Usalama wa taifa
3. JWTZ na majeshi yote unayo yafahamu yako chini ja jeshi. Hivyo CDF ndio amri jeshi mkuu wa majeshi yote ikiwemo na nchi kwan yeye ndie mwenye uwezo kisheria kuipindua na si mkuu wa kitengo cha usalama wa taifa. Bytheway usalama wa taifa ni shushushu(chawa)
 
Mipango kama hiyo huwa haiwezi kuridhiwa na watu wote. Serikali inaweza kupangua safu kuvuruga mpango na kuna njia nyingine nyeusi 'black ops' zinazoweza kutumika dhidi ya vinara wa mpango ovu.
Haha sasa hata usalama wa taifa wakijua hiyo mipango wanauwezo upi wakuzuia hilo lisitokee? Mnachekesha yani muanze kulinganisha jeshi na idara ya usalama hahahhaha...ndo maan nchi yyte kukitokea state of emergency jeshi ndo linashika nchi,Yani Kama hujui si usalama wala chombo chchte ambacho kinauwezo wakupimishana nguvu na kitu kinachoitwa Army kwene taifa lolote lile jeshi ndio alfa na Omega wa ulinzi kinyenzo,kiuwezo na kiupambambanaji
 
Usalama na Uhamiaji sio majeshi, hizo ni idara za kiraia, vyoyote wanavyokaa haihusiani na protocol za kijeshi. Wao sio wanajeshi!
Hili tulishalijibu humu.
Kila siku mnaleta nyuzi tu.
Angalia jinsi wanavyokaa mbele ya Rais utapta jibu.
Ingia YouTube tafuta video uone mpangilio wao.
 
Waziri wa Ulinzi ni Mwakilishi wa Rais kwenye sekta yote ya Ulinzi ndio maana anapigiwa saluti na wakuu wa majeshi

Usalama na Uhamiaji sio sehemu ya majeshi , hizo ni Idara za kiraia.
Kwani Mkuu wa Majeshi na Waziri wa Ulinzi nani mkubwa?
Seniority hadi IGP ni mkubwa kwa DG wa TISS lakini je kiuhalisia iko ivo? Nani ana clearance na Rais 24/7 nani ana taarifa nyingi zaidi?
 
Deep state yenyewe inayozichezesha taasisi nyingine zote kulingana na matakwa ya Mfalme!
Ukisikia wanazungumzia system, ni hilo dude mnaloloitaja. 😀😀. Hiyo idara ndo serikali yenyewe..
 
Wakuu hope mko poa

Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS)

Karibu mtujuze mnaojua
Ama!
 
Usalama, PCCB na Uhamiaji sio majeshi. Ni taasisi za kiraia.
CDF-DEFENCE FORCE
IGP-POLICE FORCE
DGI-SECURITY SERVICE
CGP-PRISON SERVICE
CGF-FIRE AND RESCUE FORCE
CGI-IMIGRATION DEPARTMENT
PCCB-PREVENTION AND COMBATING CORRUPTION BUREAU


Huo ndio mpangilio wao kiprotoko.
 
Hapa naona ligi ya jkt drop out na vijana wengine wasio na mambo ya msingi ya kujadili.
Watu wanajadili kazi za baba zao![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Atakayebisha kilaza tu.
Intelligence ya jeshi Ni ya humo humo jeshini, TISS inaweza kujua taarifa mpaka za hiyo intelligence ya jeshi lakini Intelligence ya Jeshi haiwezi kujua ya TISS, kwa kuhitimisha, TISS wapo mpaka jeshini na wanafanya kazi za jeshi, lakini TISS hakuna wanajeshi wanaoifanyia intelligence. Vinginevyo mnaongopeana.
 
Kwan ulisha skia wap nchi iko chini ya usalama wa taifa zaidi ya jeshi,,, swali lako Lina kaupuuzi kdgo japo unahitaji kufahamu. Jeshi linaongoza sekta zote za usalama ikiwemo
1. Askali Polis
2. Usalama wa taifa
3. JWTZ na majeshi yote unayo yafahamu yako chini ja jeshi. Hivyo CDF ndio amri jeshi mkuu wa majeshi yote ikiwemo na nchi kwan yeye ndie mwenye uwezo kisheria kuipindua na si mkuu wa kitengo cha usalama wa taifa. Bytheway usalama wa taifa ni shushushu(chawa)
Ati chawa!!
Unaua mkuu!![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
"Sadism is inevitable when the situation is alarming... nani amewapa mamraka ya kujadiri masuara ya jeshi.

Ngoja tuwakamate mtaereza.."

[emoji3][emoji3] kwa hisani ya msemaji wa JWTZ
Lubinga [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Hawajui Deep state ndio inazichezesha idara na taasisi nyingine zote!
( Jeshini kwenyewe kuna watu wa tiss, tiss ni serikali ndani ya serikali.

The one who control infomation controls everything. )

Ulichoandika hapo ndio UONGO..

Inatakiwa ujue TISS ni nini na JWTZ ni nini.

Jeshi lina intelijensia yake yenyewe haiingiliwi.

Unavyosema Serikali ndani ya serikali unaijua SERIKALI? mihimili yake unaijua? Usirahisishe vitu vikawa vyepesi
 
unafikiri kupindua nchi ni ishara ya uimara wa jeshi!!!
wacha nikupe shule fupi.


jeshi kupindua nchi na kutawala ni sawa na mtoto wa kwanza wa kiume kikiuka mwiko na kumlala mama yake mzazi,ndio sababu serikali hiyo haiwezi kutambulika na taasisi za kimataifa.

nchi yoyote ambayo ina mifumo imara ya kiusalama kama tanzania nk,haiwezekani jeshi kupindua nchi abadani,mfano wewe hujui kama inawezekana cdf,igp,na css wana kazi nyuma yao zinazowalazimisha kuwa watiifu kwa serikali,
nchi za kipuuzi puuzi ndio mapinduzi hutokea.

jeshi kuwa tiifu kwa serikali ni sifa njema kwa majeshi mengine ulimwenguni,na pia ni sababu ya kuheshimika zaidi.

iishie tu wewe kutaja silaha,ila swala la kuzitumia ni pana sana.ndio sababu kuna mwiko mwanajeshi anapoapa anasema"sitamgeuzia mtutu raia ninayetakiwa kumlinda"ikitokea hilo maana yake ni uasi tayari.

MWISHO:ili uelewe idara za kijasusi (usiwaze zile suti za walinzi)zinafanyaje kazi,kasome mapinduzi ya nkurunzinza 2014 yalivyo fail,au mapinduzi ya mwalimu nyerere na akina hanspop.yaani wakati unawaza jeshi limpindue rais na serikali yake,kuna wanajeshi wapo tayari wanakuongoza na kukupa kampani ili ukakamatwe.
Umeandika vizuri sana, ujue hii platform ya JF ina watoto wa shule, vijana wadogo nk... Wengi huongelea mihemko na hisia za kwenye filamu wanazoangalia. Utakuta mtu anasema "wale wavaa kaunda suti..." Anadhani Taasisi nzima ni wanavaa kaunda suti. Siku wakivaa sare zao utasikia ni "wanajeshi wa Rwanda wameingia TZ. Hawajui hata baadhi ya walimu wao au wazazi wao wengine ni watumishi.. usiri mkubwa wa taasisi unaifanya isijulikane hata kdg kwa raia.
 
Back
Top Bottom