Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

Wakuu hope mko poa

Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS)

Karibu mtujuze mnaojua
Aliyetoa hotuba wakati wa msiba wa magu ni nani? Ukipata jibu huyo ndiye mkuu.
 
Mkuu wa usalama ni mkubwa! Jeshi ni sehemu ya vyombo vya usalama vingine ni magereza, polisi, uhamiaji nk. Mkuu wa usalama anacontrol vyote hivyo
Hapo ndio umewaza hadi sub mkuu..??[emoji19][emoji19]...

Nitoshe kusema.. CDF,IGP na DGI hawa wote ni kama kichwa(serikali),ambacho kimebeba zile organ 5 za fahamu..
Zinategemeana mnoo....kufanya mwili(nchi) uende kwa usahihi ktk uwepo wake....
 
Kabla haujapindua Nchi, Tayari unakuwa tayari Mipango yako ishajulikana na Usalama wa Taifa na kudhibitiwa chini ya Ulinzi, Maana Usalama wapo kila Mahali
Kwa hiyo hao wanaopinduaga hua hamna watu wa usalama
 
Usalama wa Taifa ni mdogo,lakini ndie mwenye intelligence/taarifa nyingi za kijasusi,na mbinu nyingi za kupata hizo taarifa,hata akitaka ajue CDF,kama ana kibamia,au ni homosexual,au michepuko yote ya CDF,na viongozi wakuu wa nchi,anaweza kujua.
Usalama wa taifa kazi ya kinafki unaweza kuliwa tako wakati unatafuta information
 
Chief watake radhi! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
We unafkiri ukiingia kwenye kumnanane za wajuba unaweza kutolewa rinda bila kukusudia
 
inamaana wenye nchi hamuwajui? basi jichanganyeni kwenye kumi na nane zao ndio mtawajua wenye nchi akina nani
 
inamaana wenye nchi hamuwajui? basi jichanganyeni kwenye kumi na nane zao ndio mtawajua wenye nchi akina nani
Mlinzi hawezi kumiliki nyumba, japo umempa mamlaka ya kulinda kufuli lako unapokuwa umelala, ramani ya nyumba yako unaijua wewe, taarifa za familia yako unazo wewe, mpaka taarifa za idadi ya hao wanaokulindia nyumba yako unazo wewe,

ndio inafikia hatua ukihisi Ulinzi wa mwenye kichwa Cha familia hautoshi wewe ndio unaetafuta mlinzi wa kuongeza nguvu na kuimarisha Hali ya usalama,

Kuna wakati unawaambia walinzi wako wawatrain watoto wako, Kuna wakati unawapa heshima walinzi wa nyumba yako ili tu uwe salama na walinde wajua kuwa wao ndio wenye mamlaka ya geti, lakini haimaanishi wao ndio wajuzi sana isipokuwa mamlaka ya wanayoyafanya Ni Mali yako wewe, ilitakiwa uilinde familia yako mwenyewe, wao wanakuwakilisha tu..ukiamua kuwabadili pia unaweza.

Tembelea hata ferry, mlinzi ana mamlaka kuliko hata meneja pale wakati hata taarifa tu za makusanyo ya siku hajui, lakini akikaa getini unaweza kuhisi yeye ndio mnunuzi wa kivuko.
 
in a very narrow sense....angalia mamlaka ya kila mmoja kati ya hao unaowalinganisha na jiulize mamlaka zao zingatia wapi? ...utapata jibu mkuu
 
Back
Top Bottom