Nani mkweli kati ya Dkt. Mollel na Dkt. Slaa juu ya Lissu kupigwa risasi. Kwanini CHADEMA wanakuwa kimya? Polisi nao mbona hawachukui hatua?

Swali inakuja...kwanini waling'oa CCTV camera zenye footage zatukio ? Na ninani pia alitumwa na nani? Policcm lini washazungumzia missing CCTV camera za kwenye crime scene?? nani ali plant hizo camera na kwani camera waliziweka hapo? .....
 
Chizi
 
Nyie pamabaneni mjue ukweli kama yule mungu wenu aliwekewa sumu au ni covid, ya Lissu lipo wazi kabisa aliyetaka kumuua ni nani
 

Mtu makini? Anayekubali kurubuniwa kutumika na watawala na kulamba viatu vyao ni mtu makini kweli? Really?
Tell that to the birds!
 
Eti cold cases 😂😂😂

Sirro amesema jeshi lake halijawahi kumkosa muhalifu,

Je nani aliyetoa amri ya kutoa CCTV camera kwenye nyumba ya waziri kalemani iliyokuwa eneo la tukio???

Inahitaji degree kujua kuwa Lissu alishambuliwa na MaCCM kwa amri ya JPM???
 
Hard evidence gani inayotakiwa wakati upelelezi wake ni very simple.
Kwanza inatakiwa Polisi watupe majibu ni kwanini siku ya tukio Polisi ambao wanalinda nyumba za viongozi wa Bunge hawakuwepo eneo la tukio wakati wanatakiwa kuwepo saa 24.
Vilevile tuambiwe ni kwanini security Camera ambazo Bila shaka zilirekodi tukio zima ziliondolewa eneo la tukio muda mfupi baada ya tukio na mpaka sasa hatujaambiwa zilipo.
 
Chacha wangwe....sumaye aliambiwa sumu haionjwi,akina zito walipotaka kufanya yao walau wakaishia kufukuzwa chama
 
Watu walishasema kitambo kuwa Lissu alilipuliwa na wenzake wa Chadema kwani walimuona ni msaliti kama Zitto Kabwe
 
Tumia akili kudadavua mambo.
 
Can't write better than this one from Pascal Mayalla
 
Ikiwa chadema waliweza kuingia mahala pa serikali penye ulinzi mkali na kamera cctv wakashambulia kwa silaha nzito na wasijulikane basi nchi itakuwa idara za usalama zimekufa.Mwenye akili atafakari mara2
Kiukweli Kama hili ni kweli Chadema wanasubiri nini kuchukua nchi kwa mtutu maana wameweza kupiga mtu katikati ya nchi na hawakukamatwa hatuna jeshi Sasa.
 
Na nani aliondoa zile CCTV camera pale Area D?
 
Magufuli hawezi kukwepa lawama swala la Lissu, alihusika na hilo liko wazi. Lissu alimtaja Makonda na Kapilimba kuhusika na shambulio dhidi yake Kapilimba ni former TISS DG na ni balozi kwanini hakanushi madai ya Lissu?

Kwanini Polisi wasiwahoji Dr Slaa, Moleli na Lissu. Kwanini Polisi mpaka leo hawajafanya uchunguzi? Kwanini CCTV camera ziliondolewa?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mbowe alipopelekwa mahakamani kwa kesi ya ugaidi mlikuwa na hard evidence zaidi ya hearsay?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
yoga alishaandika jinsi mpango wa kumpiga risasi Lisu ulivyoaandaliwa, ulivyotekelezwa na waliohusika, hayo mengi ya hilo zee ni utaahira wake wa siku zote alionao
Kwa hyo na wee unamuamini yoga .yoga Ni mtunzi tu Kam watuzi wengine

Dr slaa na mollel waojiwe kutoka na jinai walizokuwa wanazifanya
 
Inaonekana jmaa Ana ushid wa kutosha
 
Slaa hatafuti uteuzi alfu hajasema moja kwa Moja kuwa eti cdm wanausika kummiminia lisu risas Bali amesema anayajuwa Mambo yaliokuwa yanafanyika cdm kwa utekeji na mauaji ya wafusi wake
Hvyo cdm tulia sindano iwaingie vzr

Kuna vifo vya utata sna chadema na hi fukuza fukuza wanachama wake siyo POA kbsa
 
Tatizo la Slaa ni kukimbia Upadri, akaoa akamkimbia Mke, akaoa tena akakimbiwa na mke Canada. Upweke unamsumbua sana. Anataka aongeee Chadema wamjibu apate faraja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…