Chadema mlivyo mataahira mnadhani kila kitu Duniani kinapelelezwa na majibu yanapatikana.
Nenda hata huko nchi zilizoendelea kuna cold cases kibao ambazo bado ushahidi haujapatikana pamoja na kwamba wanaweza kua na circumstantial evidences lakini kama hakuna hard evidence huwezi kupeleka mtu mahakamani.
Ni kwamba, hapa Duniani watu wengi tu wanafanya matukio mabaya na bado hawakamatwi na vyombo vya dola kutokana na kutokuacha hata tone la ushahidi.
Sasa kwa msingi huo, Chadema inawezekana kabisa mkawa mnafanya perfect crimes na bado msikamatwe unless someone from the inside kama alivyofanya Slaa atoe mwanga ama picha ya kinachoendelea kwa ndani.
Sasa mnatupia lawama vyombo vya dola eti vifanye upelelezi, sio kila kosa linafanyiwa upelelezi na mtuhumiwa kupatikana.
Ushahidi uliopo sasa ni wa kimazingira kua Chadema walimteka na kumuua Ben ingawa hakuna ushahidi mgumu wa kuwapeleka mahakamani. Hii pia imetokea kwa Lisu.
Chadema ni chama kinachojiendesha kama kikundi cha mafioso, Mafia style.