Nani mkweli kati ya Dkt. Mollel na Dkt. Slaa juu ya Lissu kupigwa risasi. Kwanini CHADEMA wanakuwa kimya? Polisi nao mbona hawachukui hatua?

Kabla ya CHADEMA kuwa matahira wewe ndiye tahira wa Magufuli, hakuna ushahidi wa mazingira uliosemwa na Dr slaa, Dr slaa alichokisema ni ushahidi wa uhakika kuwa CHADEMA wanakikosi cha utekaji,ambacho kilimteka Joseph ambaye ni mwanachama wa CHADEMA.

Kwa kuwa Dr slaa alikuwa ni mwanachama na kiongozi wa CHADEMA huwezi ukasema ushahidi wake ni wa mazingira kwa kuwa kama alikuwa ni mwanachama na kiongozi wa CHADEMA kwa hiyo alihusika katika uundaji wa kikundi hicho, na mipango yote ya kikundi hicho alikuwa anahusika,ndio maana wahusika wa kikundi hicho walikuwa wanakwenda kutoa taarifa kwake mara baada ya kufanya tukio,kwa kuwa yeye ndiye aliyekuwa ana watuma.

Hata tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi Dr slaa analifahamu kwa kuwa waliofanya ni vijana wake waliokuwa wanatumwa na yeye kwenda kufanya matukio na baada ya kufanya matukio wanampelekea taarifa yeye kama kiongozi wa chama na kwamba yeye ndiye aliye watuma kufanya tukio hilo.

Ndiomaana ninaunga mkono hoja kuwa Dr slaa aliyehusika kuunda kikosi cha kufanya ugaidi yupo, na kaeleza wazi kuwa CHADEMA ndio waliohusika kwenye matukio hayo kwa kupitia kikosi cha ugaidi ambacho Dr slaa alihusika kukiuunda na kukituma kwenda kufanya matukio mbalimbali ya ugaidi na kutoa mrejesho kwake, serekali iwakamate CHADEMA iwapeleke mahakamani shahidi ni Dr slaa aliyehusika katika hatua zote za uundaji wa kikosi hicho na kukituma kwenda kufanya matukio na kisha kupelekewa mrejesho wa mafanikio ya tukio husika,kama na yeye hatakuwa mutuhumiwa wa matukio moja kwa moja.

Kwa msaada wa Dr slaa, pia apatikane Joseph kwa kuwa alinusurika kuuawa, aeleze jinsi alivyowatambua wanachama wenzake ambao walikuwa kwenye kikosi cha ugaidi na jinsi walivyomteka n. K.

Ushahidi wa mazingira unaotufanya tuamini kuwa wahusika wakuu wa matukio yote haya ni Magufuli na serekali yake na ambao unaitwa ushahidi wa mazingira ni vile vitendo visivyo vya kiutu alivyofanyiwa Tundu Lissu,Lissu kapigwa risasi, Magufuli kakataa kugharamia matibabu yake wakati ilikuwa ni haki yake, kavuliwa ubunge wakati yuko kwenye harakati za kupigania uhai wake hospitalini, siku ya kupigwa risasi camera ziliondolewa kwa mazingira yote haya na mengine ambayo ni mengi kwa nini watu wasiseme kuwa Magufuli na watu wake ndio wahusika?.
 
Kwa hiyo chadema ilimpiga lissu risasi Kwa kuwa alikuwa anacretisize magufuli
 
Mtasema wanaminya demokrasia- wanawaacha mkutane na hukumu ya haki ya Mungu
 
Labda hao chadema walirusha ngumi!!!!! Watueleza Kama wanasilaha? Na kama anajua chadema wanapohifadhi kwa nini akae kimya muda wote?
 
Dereva wa Lissu Kwann amefichwa mpaka Leo? Na usishangae tukaambiwa alishakufa. Tumia akili kutafakari. CCTV Camera ilichukuliwa na polisi na walitoa taarifa kwamba ni sehemu ya ushahidi. Sasa wahusika wote wamekimbia nchi, polisi wafanye nn?
Usipende kukaririshwa jambo tumia kichwa chako kufikiri. Mtu aliyeuawa mwaka jana polisi hufanya upelelezi na kumkamata mhusika, vinginevyo kusingekuwa na kesi za mauaji kwa kisingizio aliyetendewa (marehemu) hayupo.
Uliwezaje kujiunga JF of GT's wakati unakitumia kichwa chako kufugia nywele tu.
 
Usipotoshe amesema hana taarifa za kutosha kuhusu Lissu kupigwa risasi hivyo hawezi kulizungumzia.
 
Sasa Polisi kama wamepewa hints juu ya wahusika ambao ni CHADEMA kwa nini hawachukui hatua?
hata sisi tunashangaa Police wa Tanzania - DR. Slaa na Molel ni watu muhimu sana maana wametueleza pa kuanzia. CDM hawana dola iweje Police ishindwe kupeleleza kesi hii muhimu ili ijulikane wazi, IGP naye anasema anamsubiri dereva wa Lissu.
 
Hujawahi kusikia Mbowe akishikiliwa kwa ugaidi na serikali?
 
Ngoja kwanza, achana na kingereza kingi au terminology za kisheria; hivi hata kwa mwendawazi ambaye walau anao uwezo wa kuvuka barabara asigongwe na gari, anaweza kuhisi kwamba Chadema ndio walihusika kumpiga risasi Lissu? Mbona kupigwa risasi Lissu kulikua na viashiria vingi sana ambayo hadi leo vinaonesha nani alihusika? Tusijidhalilishe kiasi kikubwa namna hi, tuziepuke aibu ndogo ndogo jamani. Ni kama wale ambao wanatumia msuli mkubwa sana kuonesha kwamba enzi za Magu pesa ilipigwa sana kuliko kawaida, wanataka tuamini, wananchi wa kawaida tumekataa but this doenst mean kwamba hatumjui nani alimpiga risasi Tundu, hilo linaeleweka hata kwa mwendawazimu
 
Kwa wenye uwezo mkubw wa kufikili tu. SHETANI AMTOI SHETANI MWEZAKE. by JESUS.
 
Kuna polisi aliniambia Kama serikari watasema wawaachie polisi wawe huru kwenye swala la Lisu kupigwa risasi ndani ya nusu saa watanzania washatajiwa Nani Muhusika. Mkuu wataitaja sana chadema kuhusika lakini mioyo yao inawasuta midomo yao kwa kushindwa kusema ukweli ambao hata Mungu anaujua.
 
tuseme ni kweli chadema sasa swali ni je kwann unahisi siku husika suma walitoka lindo?kwmaba walihongwa? swali la pili kwann camera iling'olewa na ikasemwa ni ya mbunge binafsi wa ccm na unahisi ingekuwa ni wao afu ccm ikubali yaishe huku wakihitaji sn chadema ife,akili zetu tuongezage kidogo
 
Yeye Slaa kuondoka CDM kuna mfutia jinai zilizofanyika akiwa CDM? iko wapi collective responsibility... mbona mna act as if CDM ni li-roboti fulani hivi wakati CDM ni watu, na hao watu Slaa ni mmoja wao, ndio hao watu wawajibishwe akiwemo Slaa kama kiongozi wa CDM wa kipindi hicho.

Au yeye kuhama CDM basi ameoshwa kwa damu ya mwanakondoo na kuwa mweupe kama theluji? Think!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…