Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 11,993
- 9,212
Kabla ya CHADEMA kuwa matahira wewe ndiye tahira wa Magufuli, hakuna ushahidi wa mazingira uliosemwa na Dr slaa, Dr slaa alichokisema ni ushahidi wa uhakika kuwa CHADEMA wanakikosi cha utekaji,ambacho kilimteka Joseph ambaye ni mwanachama wa CHADEMA.Chadema mlivyo mataahira mnadhani kila kitu Duniani kinapelelezwa na majibu yanapatikana.
Nenda hata huko nchi zilizoendelea kuna cold cases kibao ambazo bado ushahidi haujapatikana pamoja na kwamba wanaweza kua na circumstantial evidences lakini kama hakuna hard evidence huwezi kupeleka mtu mahakamani.
Ni kwamba, hapa Duniani watu wengi tu wanafanya matukio mabaya na bado hawakamatwi na vyombo vya dola kutokana na kutokuacha hata tone la ushahidi.
Sasa kwa msingi huo, Chadema inawezekana kabisa mkawa mnafanya perfect crimes na bado msikamatwe unless someone from the inside kama alivyofanya Slaa atoe mwanga ama picha ya kinachoendelea kwa ndani.
Sasa mnatupia lawama vyombo vya dola eti vifanye upelelezi, sio kila kosa linafanyiwa upelelezi na mtuhumiwa kupatikana.
Ushahidi uliopo sasa ni wa kimazingira kua Chadema walimteka na kumuua Ben ingawa hakuna ushahidi mgumu wa kuwapeleka mahakamani. Hii pia imetokea kwa Lisu.
Chadema ni chama kinachojiendesha kama kikundi cha mafioso, Mafia style.
Kwa kuwa Dr slaa alikuwa ni mwanachama na kiongozi wa CHADEMA huwezi ukasema ushahidi wake ni wa mazingira kwa kuwa kama alikuwa ni mwanachama na kiongozi wa CHADEMA kwa hiyo alihusika katika uundaji wa kikundi hicho, na mipango yote ya kikundi hicho alikuwa anahusika,ndio maana wahusika wa kikundi hicho walikuwa wanakwenda kutoa taarifa kwake mara baada ya kufanya tukio,kwa kuwa yeye ndiye aliyekuwa ana watuma.
Hata tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi Dr slaa analifahamu kwa kuwa waliofanya ni vijana wake waliokuwa wanatumwa na yeye kwenda kufanya matukio na baada ya kufanya matukio wanampelekea taarifa yeye kama kiongozi wa chama na kwamba yeye ndiye aliye watuma kufanya tukio hilo.
Ndiomaana ninaunga mkono hoja kuwa Dr slaa aliyehusika kuunda kikosi cha kufanya ugaidi yupo, na kaeleza wazi kuwa CHADEMA ndio waliohusika kwenye matukio hayo kwa kupitia kikosi cha ugaidi ambacho Dr slaa alihusika kukiuunda na kukituma kwenda kufanya matukio mbalimbali ya ugaidi na kutoa mrejesho kwake, serekali iwakamate CHADEMA iwapeleke mahakamani shahidi ni Dr slaa aliyehusika katika hatua zote za uundaji wa kikosi hicho na kukituma kwenda kufanya matukio na kisha kupelekewa mrejesho wa mafanikio ya tukio husika,kama na yeye hatakuwa mutuhumiwa wa matukio moja kwa moja.
Kwa msaada wa Dr slaa, pia apatikane Joseph kwa kuwa alinusurika kuuawa, aeleze jinsi alivyowatambua wanachama wenzake ambao walikuwa kwenye kikosi cha ugaidi na jinsi walivyomteka n. K.
Ushahidi wa mazingira unaotufanya tuamini kuwa wahusika wakuu wa matukio yote haya ni Magufuli na serekali yake na ambao unaitwa ushahidi wa mazingira ni vile vitendo visivyo vya kiutu alivyofanyiwa Tundu Lissu,Lissu kapigwa risasi, Magufuli kakataa kugharamia matibabu yake wakati ilikuwa ni haki yake, kavuliwa ubunge wakati yuko kwenye harakati za kupigania uhai wake hospitalini, siku ya kupigwa risasi camera ziliondolewa kwa mazingira yote haya na mengine ambayo ni mengi kwa nini watu wasiseme kuwa Magufuli na watu wake ndio wahusika?.