Nani mpambanaji kati ya Mama Caren na Mama Grace? Chagua mmoja

Nani mpambanaji kati ya Mama Caren na Mama Grace? Chagua mmoja

Mama grace ni mpambanaji sababu ya aliyopitia,mama caren hatujui kama nae angekuwa mpambanaji maana yeye kwake kila kitu amesogezewa,angepitia shida kama za mama grace tungejua.
 
Wazazi wa mama Grace wanatakiwa kujibu hilo swali..
Mpaka mwanao anaenda kuponda kokoto kazi ngumu ya kuchosha kwa mtoto wa kike wao walikuwa wapi??
 
Yani mponda kokoto unamlinganisha na aliye na uwezo wa kusoma Hadi nje ya nchi!! Unaijua kazi ya kuponda kokoto kweli!!
 
Back
Top Bottom