Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 11,050 Reaction score 31,412 Jun 20, 2023 #21 Ni vitu viwili tofauti kabisa, huwezi kuziweka katika mpambano mmoja!
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,152 Reaction score 9,206 Jun 20, 2023 #22 Mama grace ni mpambanaji sababu ya aliyopitia,mama caren hatujui kama nae angekuwa mpambanaji maana yeye kwake kila kitu amesogezewa,angepitia shida kama za mama grace tungejua.
Mama grace ni mpambanaji sababu ya aliyopitia,mama caren hatujui kama nae angekuwa mpambanaji maana yeye kwake kila kitu amesogezewa,angepitia shida kama za mama grace tungejua.
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 9,266 Reaction score 7,426 Jun 20, 2023 #23 Mama Grace.
F Folk Part II JF-Expert Member Joined Jun 27, 2017 Posts 419 Reaction score 490 Jun 20, 2023 #24 Thread 'Jinsi ya kuwa na Elimu yenye mafanikio kwa nchi ya Tanzania' SoC03 - Jinsi ya kuwa na Elimu yenye mafanikio kwa nchi ya Tanzania
Thread 'Jinsi ya kuwa na Elimu yenye mafanikio kwa nchi ya Tanzania' SoC03 - Jinsi ya kuwa na Elimu yenye mafanikio kwa nchi ya Tanzania
The Conscious JF-Expert Member Joined Mar 18, 2021 Posts 740 Reaction score 1,218 Jun 20, 2023 #25 Wazazi wa mama Grace wanatakiwa kujibu hilo swali.. Mpaka mwanao anaenda kuponda kokoto kazi ngumu ya kuchosha kwa mtoto wa kike wao walikuwa wapi??
Wazazi wa mama Grace wanatakiwa kujibu hilo swali.. Mpaka mwanao anaenda kuponda kokoto kazi ngumu ya kuchosha kwa mtoto wa kike wao walikuwa wapi??
blogger JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 12,112 Reaction score 15,060 Jun 20, 2023 #26 Picha zao..kama hutojali!?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 20, 2023 #27 Mambo yao waachie wenyewe...
Siachi hela Senior Member Joined Jun 17, 2022 Posts 136 Reaction score 248 Jun 20, 2023 #28 Yani mponda kokoto unamlinganisha na aliye na uwezo wa kusoma Hadi nje ya nchi!! Unaijua kazi ya kuponda kokoto kweli!!
Yani mponda kokoto unamlinganisha na aliye na uwezo wa kusoma Hadi nje ya nchi!! Unaijua kazi ya kuponda kokoto kweli!!