Sidhani Kama hakuna kitu kwa ajili yako hapa duniani
Unataka commitment bila kurudi nyuma bila kuangalia Nani anasema Nini unahitaji moyo mgumu na mbishi .
Kelele zimejaa sana kitaa kuvunjana moyo vijana badala ya kukomaa na kitu kimoja wanaruka ruka Leo anauza kuku,kesho anauza mchicha,kesho anauza vitunguu
Huwezi kuwa expert wa kitu Kama unaruka ruka tu na kila kitu unaishia njiani
Na ndivyo ilivyo halafu hakuna pesa rahisi kiivyo kwenye tasnia yetu [emoji2] lazima ikuchuje kweli maana unaweza pata pesa mapema utasumbua watu kitaa kwahio lazima upigike urushwe rushwe upelekeshwe ulizwe upoozwe ndio Sasa uanze Pat's mafanikio consistently [emoji2]
Sent using
Jamii Forums mobile app