Usikate tamaa mkuu. Huo muda uliosema bado ni mchache kwa Forex. Niko kwenye game miaka 3 sasa na bado najifunza. Ku lose kupo na hata maGuru wana lose cha msingi ni mwisho wa siku upate profit zaidi ya loss uliyopata.
Kingine kikubwa zaidi, kuwa na journal yako utakayoandika trades zilizokubalina ambazo hazikubali na ulimessup wapi? (Je ni risk management? Wrong setup? Ulibuy wakati wa pullback? News interference....) document hivo vitu nauwe unavipitia ili usirudie makosa
Cha mwisho, develop your technique (yako mwenyewe kutokana na psychology yako). Watu tunatofautiana, mwingine anahold trade mwezi, mwingine wiki, mwingine lisaa li kubwa). So, develop your technique, jua setup ikiwa hivi naingia, isipokua na hiki siingii hata iweje...Usipokua na hizi formula mkuu nakwambia utakua unaingia kila trade blindly, kwenye ma group ya whatsapp na telegram mtu anasema Sell UJ, unazama, ukigeuka mwengine Buy GU unazama, Noo!!...Lazima uwe na rules zako mwenyewe, rules of trades zinazofanya kazi kutokana na ww ulivyo...
shida ni kwamba trader ukiwa na njaa unakosa discipline na hii game unatakiwa uimaste kwanza then uwe na discipline then hela zitakuja