Nikweli unayosema, kama ulishawahi fanya forex naamini utaelewa ni kwa kiasi gani muda unapotea kukaa ndani na computer siku nzima na imekuwa hivyo kwa miezi yote nane, na bado pesa tatizo....Hii hali huwa inatokea kama unajifungia ndani na ujuzi unao
i appriciate ur suggestion brother.... tafanyia kaziTrust me and it's much easier to trade with them not against
Na ukijua umejua hutorudi nyuma tafuta skills mzee achana kelele za watu
Ukianza kitu usiishie njia huwezi fanikiwa kamwe asilani
Kaa mbali wakatisha tamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Seriously?Ingia mtaani mkuu, fanya chochote,
Mimi Nina elimu ya sheria lakini nauza Bar,
Halafu sioni Noma wala nini, hata wateja wangu wanalijua hilo.
Hata leo nikipata kazi mahakamani naacha hii kazi naingia mahakamani fresh kabisa.
kwa mimi hapa dar nilie... proove kwa kiasi ni mshkaji anaitwa benwade,wengine nawaonea kwenye social media tu wapo wanaofanikiwa japo ni wachache sanaKuna watu wanapigia debe sana Forex lakini mbona vilio ni vingi?
Nani ameshatoboa kupitia forex?
ni idea nzuri sana brother... asanteIngia hata kwa udalali mkuu..maana wanasema hii haiitaji capital...! There's no permanent situation
asante mkuu... mimi ni mwanaume kwokwote kambi, ingekuwa vizuri nikajua hizo kazi zinakuwa za aina gani na kipato chake na utaratibu wakuingia? ili hata nikisema nakuja najua naanzia wapi asanteHama Dar kuja ziwani, huku hakuna cha bure means ni lazima ufanye kazi upate pesa ya kujikimu kimaisha.
Kazi za ziwani hazihitaji certificate wala diploma bali ni nguvu zako.
asante mkuu... mimi ni mwanaume kwokwote kambi, ingekuwa vizuri nikajua hizo kazi zinakuwa za aina gani na kipato chake na utaratibu wakuingia? ili hata nikisema nakuja najua naanzia wapi asante
Aamke mapema kufanya nini...Sleeping like you are competing with a dead man expecting to win in the of the living you will be buried definitely.
Amka mapema utajua cha kufanya na ipo siku utatoka tu.
Why not mkuuSeriously?
Weka aibu pembeni mkuu utatoboa, mm nilianza na udalali kama alivosema dada mkuu Wangari Maathai ila sasa mtaji umekua nanunua mzigo mwenyewe na kusafirisha, forex iweke pending kwanza...
njoo PMWhy not mkuu
Hizi forex kamwe sitokaa nifanyeNikweli unayosema, kama ulishawahi fanya forex naamini utaelewa ni kwa kiasi gani muda unapotea kukaa ndani na computer siku nzima na imekuwa hivyo kwa miezi yote nane, na bado pesa tatizo....
Day care inalipa sanausikate tamaa na weka aibu pemben, nilimalza chuo miaka mi5 iliyopita sina job natengeneza vitafunwa naenda kuuza shule, nashukuru nipanga huu uwe mwaka wa mwisho mwakan nafungua day care panapo majaaliwa
Habari Mkuu Naweza Kukujua Vitu Kadhaa Kutoka Kwako How Unamove On Na Issue Ya Udalali?Weka aibu pembeni mkuu utatoboa, mm nilianza na udalali kama alivosema dada mkuu Wangari Maathai ila sasa mtaji umekua nanunua mzigo mwenyewe na kusafirisha, forex iweke pending kwanza...