Nani mwenye hali ya kiuchumi kama yangu muda huu? Toa mawazo jinsi ya kujikwamua

Day care inalipa sana

Shost yangu anajenga ghorofa now asee

Hivi ukifungua kule kigamboni utapiga pesa sana?
naomba Mungu sana anipe afya niweze fanikisha hii kitu, pesa ipo halafu kila cku watoto wanazaliwa tena kwa kasi zaid
 
asante mkuu... mimi ni mwanaume kwokwote kambi, ingekuwa vizuri nikajua hizo kazi zinakuwa za aina gani na kipato chake na utaratibu wakuingia? ili hata nikisema nakuja najua naanzia wapi asante
Kuna mshikaji nilimchoroea ramani za visiwani...aisee...unajua unaongea na mtu Hana mzuka wa kutoka dar...naye aliuliza maswali ambayo dah...!wewe Kama kweli mwanaume maswali naKama hayo utayakuta huko huko...Mie naamini hujapigika
 
Mkuu kwa sasa nakushauri usife moyo, ya jana yamepita kibaya nikujutia usiyoweza yabadilisha, cha kuzingatia Zaidi ni muda.

Mkuu wekeza katika muda kama huna pesa nguvu zako ni mtaji tosha fanya vibarua vyovyote hata kama huvipendi fanya kwa moyo wote na upende unachokifanya utajikuta mtazamo wako una badilika na ndio mwanzo wakuona mafanikio. Hapa unatakiwa uwe na malengo na nidham ya hali ya juu ili usijikute unatumia muda mrefu kwenye kazi zisizo na tija.

Pesa za haraka kama forex ni risk sana na sidhani kama ni chaguo sahihi la kwanza kwani itakuongezea stress ikufanye u loose focus. Kama unapesa kidogo fanya kitu chenye kukupa real money hata kama ni buk 2 kwa siku ilimradi una uchu wa mafanikio mwanga utaongezeka na kipato kitaongezeka pia.

Zingatia sana Muda narudia tena wekeza kwenye Muda pia mshirikishe mwenyezi MUNGU katika kila jambo naamin siku moja utatoa ushuhuda wa kule ulikotoka.
 
Braza unanuaje movements za big movers? Yani hapa mzigo ushaanza kusepa ili na wewe huunge tela, and how long you stay in the market?
 
Dah...Nidhamu, hofu na kuwajibika ndiyo msingi wa mwanzo wa maendeleo ya binadamu... Jichangechange tafuta Dem mkali...mtie mimba...kisha kajitambulishe kwao...Kila kitu kitakuwa mstarini tu[emoji2960]
 
Ingia mtaani mkuu, fanya chochote,
Mimi Nina elimu ya sheria lakini nauza Bar,
Halafu sioni Noma wala nini, hata wateja wangu wanalijua hilo.
Hata leo nikipata kazi mahakamani naacha hii kazi naingia mahakamani fresh kabisa.
Duh! Bar unaiuza sh ngp mkuu?
 
Sijawai kufanya Forex ila nature ya uumbaji toka tuumbe.

"Kitu chenye manufaa/faida sanaa Mungu hakukiacha kiwe rahisi"

Chunguza kuanzia leo.
Mmhhh sawa
 
Braza unanuaje movements za big movers? Yani hapa mzigo ushaanza kusepa ili na wewe huunge tela, and how long you stay in the market?
A very big secret

Watakaojua ni wale wateule tu waliokomaa na hii kitu mwanzo mwisho ukiishia njia hutojua kamwe utaishia kulaumu na kutukana tu [emoji2][emoji2]

Ukiweza ng'amua how big market movers wanaendesha soko FX Ni Kama a,e,I,o,u

Makert movers Ni Kama
CitiBANK
HSBC
JP MORGAN
GOLDMAN SACHS
ABSA (formerly BARCLAYS )
BANK OF AMERICA

pia Kuna hedge FUNDS Kama

Bridgewater associates

Reianassance technologies

Man group

Pia Kuna big corporation and other financial institution

Hawa ndio wanaendesha soko la FX ukienda kinyume nao utalipa tu [emoji1787]

Hizo financial institution zinaaajiri watu wenye uwezo mkubwa katika hesabu, coding,na fedha huwezi trades against wao ukabaki salama utaituiana FX milele

So tafuteni elimu kwanza hii fan hakuna ujanja ujanja Kama MR KUKU[emoji1787][emoji1787]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ABSA ni Barclais Bank nilidhani bank mpya.
 
Mazigazi naomba nicheki wasap bro 0768246184.
 
. Kama no mraalamu zungikia site, waone wanaojenga uombe iazi moja kwa moja kwao.Tafuta mafundi wawe madali mega pasenti ule nao.Mafundi ndio habari ya mjini wanamtandao wao
 
Tuhamie piptwitz.com kule positivity kubwa kila mtu ana trade forex humu kuna watu yamewashinda sasa wanaharibu vichwa vya wanao pambana hakuna kitonga kokote maishani ukiona kitu kila mtu anaweza akakifanya akatengeneza pesa nacho jua kabisa hakuna pesa yakueleweka hapo.

Ila ukiona kugumu ni wachache wanaweza kuiga au kutengeneza pesa na biashara yako basi jua upo sehemu sahihi chakufanya pambana uwe kwa wachache.
 
Pole sana injinia
Ila unakumbuka enzi hizo tukikupa ushauri ujipange ukawa unatuona sisi kaka zako ni wazembe kwamba Tunaendekeza pombe na kujifungia ndani?

Nikuambie home boy, sisi tulikuwa tunakunywa pombe kwa kila pesa tunayoipata na hii ndiyo ilikuwa sababu kuu.

Nakushangaa sana kwa muda mfupi tu huo kwamba umechoka na kukata tamaa, wachana na forex uhame nyumbani upange getho mtaani ukipigika kisawasawa akili zitakuijia

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…