Nani mwimbaji bora wa Gospo wa mda wote Tanzania?

Nani mwimbaji bora wa Gospo wa mda wote Tanzania?

kende

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
3,527
Reaction score
1,668
Rose Muhando? Bahati Bukuku? Christina Shusho? Bonny Mwaitege? Upendo Nkone? Jennifer Mgendi? Beatrice Muhone? Ambwene Mwasongwe? Martha Mwaipaja? Flora Mbasha?.............
 
Hao wote hakuna anaeweza kumfikia Jenifa Mgendi,Huyu alikuepo toka enzi hizo na sijui kama kuna yoyote anaweza kufika hata nusu ya album za huyu mama.
 
Hao wote hakuna anaeweza kumfikia Jenifa Mgendi,Huyu alikuepo toka enzi hizo na sijui kama kuna yoyote anaweza kufika hata nusu ya album za huyu mama.

Mkuu hapa hoja ni nani mkali kwa uimbaji? na wala sio kuwa na albam nyingi! zinaweza kuwa nyingi lakini hakuna ubora!
 
Back
Top Bottom