Nani mwimbaji bora wa Gospo wa mda wote Tanzania?

Nani mwimbaji bora wa Gospo wa mda wote Tanzania?

Kuna waimbaji bora na waimbaji wanaovutia kimuonekano...

Najaribu kuwaza, isijekuwa wengine wanapewa sifa ya uimbaji bora kutokana na mvuto walionao...

Siyo siri...Shusho anavutia sana machoni...

Tafakari...
 
New Life Band, Ulyankulu Barabara ya 13...

Hao wengine wote uliowataja ni wafanyabiashara nyuma ya nyimbo za injili...

Umeongea la maana sana, Barabara ya 13 ndio mwisho wa yote
 
New Life Band, Ulyankulu Barabara ya 13...

Hao wengine wote uliowataja ni wafanyabiashara nyuma ya nyimbo za injili...

Wewe umenena hadi nimefurahi. Na wale Shangilieni wa St. Joseph Arusha alikotokea Beatrice Mhone

St. Joseph Arusha ni hatari, Watu8 amefunga orodha, ila kuna Ulyankulu wengine inaitwa mapigano kama sikosei, waliimba Mwenye Mamlaka. Hawa watu walikua wanaimba neno ndio maana nyimbo zao hazitakaa zichuje wala kuchosha kusikiliza.

Kuna Nkinga Christian Choir na Kilimanjaro Revival nao wanajitahidi.

Kwa ufupi, iwe ni kwaya au mwimbaji binafsi au kikundi, wakiimba neno na sio hizi nyimbo za maneno ya msimu, utagusa watu tu kwa nja moja ama nyingine.
 
Back
Top Bottom