Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1- Bahati Bukuku
2- Abiud Misholi
3-Fanuel Sedekia 4-Ambwene Mwasongwe
Walipiga kibao cha Nuhu mtu wa mungu
"...wa muda wote..." unamaanisha nini?hawa wote uliowaorodhesha ni wa miaka ya hivi karibuni - 90 mwishoni!!!
Rose anastahili kupewa hiyo tuzo ndiyo aliyeleta mabadiliko makubwa kitaifa na kimataifa ndiye anayesikilizwa na kila rika na jamii nying hadi walevi wanamjua Rose bodaboda ukiwauliza watakwambia Rose ni nan ndiye mwimbaji mwenye tuzo nying za kitaifa na kimataifa licha ya kuelimisha pia ni mburudishaji na hii ni kutokana na ubunifu na umahili wake ni Rose tu ndiye mwenye sifa hizo zote kwambali Bony mwaitege anaweza kumfikia angalau Robo yake
ofcoz Rose kadominate, kwenye sherehe mbalimbali e.g harusi ni ngumu kukosekana wimbo wake sijui kwann