Nani mwimbaji bora wa Gospo wa mda wote Tanzania?

Nani mwimbaji bora wa Gospo wa mda wote Tanzania?

Nyimbo na ala za mziki nikazi za shetan soma mungu si mtt useme umuimbie atalala mungu kaagiza utumikie sio umsifu wala umuimbie nakupa mfano ww bos anakwambia fanyakaziyangu ww unamsifia fanyausafi ww unamsifu anakwambia lete chai ww unamsifia kweli utakuelewa
 
1.Fanuel sedekia 2.Yusto onesmo 3.Shusho kwaya ni barabara ya 13 st jems upendo na tumaini na mamajusi.
 
we vp una mawazo potofu tena yalioganda kama mafuta kumsifu mungu imeandkwa had kwenye kitabu chetu kitakatifu kama huelewi bora ukae kmya tu
 
Nyimbo na ala za mziki nikazi za shetan soma mungu si mtt useme umuimbie atalala mungu kaagiza utumikie sio umsifu wala umuimbie nakupa mfano ww bos anakwambia fanyakaziyangu ww unamsifia fanyausafi ww unamsifu anakwambia lete chai ww unamsifia kweli utakuelewa

Labda kama unayaongelea madufu (qaswida) kuwa ni kazi ya shetani inawezekana ikawa kweli ila kwa ninavyoelewa Gospel Music ni moja ya njia ya kumsifu Mungu na hata mbinguni Malaika wanaimba.
 
Back
Top Bottom