Nani mwingine katumiwa email na FUNDSFORAFRICA

Lameckjr

Senior Member
Joined
Sep 26, 2020
Posts
133
Reaction score
247
Wakuuu Mambo vipi tena kwenu mimi
Mtumishi wa Mungu,
Naulizia hivi nani Mwingine katumiwa hii email ya fundsforafrica waliiiona Tangazo
Mimi nimetumiwa lakini siielewi elewi

Kwenye zile nafasi za procurement na field officer

Screenshot_20210901-105646_Gmail.jpg
 
Kwa post ipi wewe uliomba tukusaidie, maana kila mtu na post aliyoapply so it is better kusema ni ipi kati ya zile zote. Kwa sababu nina jamaa yangu katumiwa email tofauti.
 
Mimi nimeomba procurement
 
Wakuuu Mambo vipi tena kwenu mimi
Mtumishi wa Mungu,
Naulizia hivi nani Mwingine katumiwa hii email ya fundsforafrica waliiiona Tangazo
Mimi nimetumiwa lakini siielewi elewi

Kwenye zile nafasi za procurement na field officer

View attachment 1919283
Achana na hii kitu mkuu, hamna kazi hapo. Wanacholenga hapo ni ulipie hizo test af mchezo umeisha. Mimi nilishakutana na hicho kitu ndgu yangu sikudanganyi. Ila kama utataka kuthibitisha nnachokisema fuata maelekezo yao utaona kitakachotokea.
Ahsante.
 
Asante kwa ushauri Mkuu
Ndo Maana nikaona nishare humu, na nikataka kujua na kama kuna watu wengine wametumiwa Maana siku hizi wapigaji ni wengi
 
Mi niliomba pia lkn sijatumiwa email yoyote ile
 
Huo ni utapeli.

Unaelekezwa sites ambazo wanamiliki wao wenyewe ili upate cheti.

Utaambiwa ulipie. Ukishalipia, ukirudi huku utakua na bahati kama watakuacha la sivyo utaambiwa kinachohitajika ni kama hichi so kalipie tena.
 
Dah ndo maana ni lazima tuambizane kuokoa watu kupigwa
 
aisee zile posts zilinishangaza sana nikasema labda mimi ndio sijui lakini naona wanaelekea mulemule
 
Wakuuu Mambo vipi tena kwenu mimi
Mtumishi wa Mungu,
Naulizia hivi nani Mwingine katumiwa hii email ya fundsforafrica waliiiona Tangazo
Mimi nimetumiwa lakini siielewi elewi

Kwenye zile nafasi za procurement na field officer

View attachment 1919283
Mimi pia wamenitumia kwa nafasi ya procurement, hawa matapeli, kuna na wale wengine wa africovid na wapo muda sna hawa. Wanafanya tu kubadili majin ya mashirika
 
Aisee wale wa africovid nao walitumaga email za namna hii
 
Ndo maana nini Maana ya kuuliza ,

Ukienda kichwa kichwa unaliwa
 
Ndo maana nini Maana ya kuuliza ,

Ukienda kichwa kichwa unali
 
Back
Top Bottom