Huo mfano uliogusia wa vita yetu na Uganda kusababisha uchumi wetu uchechemee Binafsi ninaamini athari zake ziliishia early 1990s.Vita sio yelemama
Ya kwetu na Uganda mpaka leo tunachechemea hatujakaa sawa
Vita inashusha sana uchumi au kuumaliza kabisa
Kuna nchi kama [emoji636] hawajawekeza sana kwenye ulinzi kwa miaka kadhaa
Inataka uwekezaji mkubwa sana kwenye ulinzi
Hakuna anaemuogopa mwenzie kila mmoja anataka aishi kwa amani na kuongeza kipato cha nchi kwa mambo mengine na vita haimo kwenye kuongeza zaidi ya kupunguza
Hakuna wa kupigana hapa
Putin anatikisa kibiriti na hata akivamia hawatapigana
Mjue Putin sio Saddam huyo alipovamia Kuwait dunia nzima ikamuadhibu
Hawa wanatengeneza hizo silaha na wako advance katika masuala ya kivita
Wanajua mkate utakuwa ghali mara 10 baada ya siku 30 za mwanzo tu
Sema tu Kameshachukuliwa kama Sababu na siajabu kakadumu hadi mwaka 2099 kila kizazi kuambiwa moja ya sababu ya kuyumba uchumi wetu ni vita ya Kagera.