The Hyper
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,788
- 1,101
Chai halisi ya rangi kutoka TZ.Wewe huijui urusi, kama marekani angekuwa anamuweza mrusi asingekuwa anategemea mbeleko ya NATO kwenda kupambana na mrusi... imebidi ulaya yote iungane na marekani ili kumkabili mrusi peke yake. Ile ni super power eroo. Hakuna mahali mrusi anatia mguu marekani anashinda, iwe ni Syria au Venezuela.