Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmarekani peke yake hana ubavu wa kupigana na urusi. Maisha yake yoteMmarekani bado hajaguswa vizuri, pia wananchi wake hawajaona umuhimu wa kupigana.
Kwa sasa maslahi ya mrusi yameguswa, ndio maana amejitutumua.
Pindi wamarekani watakaposema kwa pamoja wapo tayari kupigana hapatakuwapo kusita tena.
By the way, vita si kitu kizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mrusi arushe kakombola kwa Us kama dunia haitageuka majivu hii.Mmarekani peke yake hana ubavu wa kupigana na urusi. Maisha yake yote
Sema kuna watu humu jamiiforum iq yenu ni ndogo kama ya samakiNATO ikiongozwa na Marekani ni waoga.
Walitakiwa wamuambie Putin neno moja tu nalo ni “Lianzishe kama kweli wewe ni mwamba” alafu wakae wasubiri waone kama kweli jamaa ataivamia Ukraine, sasa wao pamoja na uwingi wao bado wanaendelea kubwaka utadhani mbwa koko.
Putin anaongea mara chache sana anajua anachokifanya.
Wewe huijui urusi, kama marekani angekuwa anamuweza mrusi asingekuwa anategemea mbeleko ya NATO kwenda kupambana na mrusi... imebidi ulaya yote iungane na marekani ili kumkabili mrusi peke yake. Ile ni super power eroo. Hakuna mahali mrusi anatia mguu marekani anashinda, iwe ni Syria au Venezuela.Mrusi arushe kakombola kwa Us kama dunia haitageuka majivu hii.
Wanachokifanya Us kwa sasa ni kumdhoofisha mrusi kwa propaganda chafu lakini mrusi anajibu propaganda za Us kwa kutumia uwezo wake wa Kijeshi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaijua urusi kwa kiwango gani?Wewe huijui urusi, kama marekani angekuwa anamuweza mrusi asingekuwa anategemea mbeleko ya NATO kwenda kupambana na mrusi... imebidi ulaya yote iungane na marekani ili kumkabili mrusi peke yake. Ile ni super power eroo. Hakuna mahali mrusi anatia mguu marekani anashinda, iwe ni Syria au Venezuela.
Urusi masikini?Naomba nijue ukweli kwenye JamiiForums wengine wanasema Urusi ni nchi maskini hata Jimbo moja la marekani linazidi nchi kubwa duniani kiuchumi ambayo ni Russia.
Kama Ni hivo kwanini marekani na NATO wenye utajiri mkubwa Sana duniani wanamgwaya Sana Russia kwenye masuala ya kivita
Mfano USA na NATO walipoanza Vita Iran na Russia akaingia kumsaidia Iran USA na NATO walishindwa, pale Venevuela USA alishindwa baada ya URUSI kutia mguu, na sasa hivi Ukraine Marais karibia 30 wenye uchumi mikubwa duania wanaumiza akili zao kwa nchi moja tu, ambayo Wanasema ni maskini.
Je, nauliza ni kweli URUSI ni nchi maskini kama wamagharibi wanavosema?
[emoji16][emoji16][emoji16]Hapa utopata jibu kamili mtoa mada.ukitaka kupata jibu kamili basi kamfufue Napoleon na Hitler, awa ndo binadamu pekee ambao watakupa majibu mazuri kuhusu WARUSI
AmagedonNaomba nijue ukweli kwenye JamiiForums wengine wanasema Urusi ni nchi maskini hata Jimbo moja la marekani linazidi nchi kubwa duniani kiuchumi ambayo ni Russia.
Kama Ni hivo kwanini marekani na NATO wenye utajiri mkubwa Sana duniani wanamgwaya Sana Russia kwenye masuala ya kivita
Mfano USA na NATO walipoanza Vita Iran na Russia akaingia kumsaidia Iran USA na NATO walishindwa, pale Venevuela USA alishindwa baada ya URUSI kutia mguu, na sasa hivi Ukraine Marais karibia 30 wenye uchumi mikubwa duania wanaumiza akili zao kwa nchi moja tu, ambayo Wanasema ni maskini.
Je, nauliza ni kweli URUSI ni nchi maskini kama wamagharibi wanavosema?
Jamaa jana kaingiza majeshi east ukraine , na hakuna kitu wamefanyaTHELATHINI KWA MOJA, MBONA JIBU LI WAZI NI 30 WAOGA. NA UMESIKIA HUKO MTU MZIMA KALIMALIZA JAMBO KIASILI SASA YEYE NDO KAJIUNGANISHA NA UKRAINE.
PUTIN KAWAPUT TAYARI ULE NDO UANAUME SASA.Jamaa jana kaingiza majeshi east ukraine , na hakuna kitu wamefanya
Katika hao Marais wa western hakuna hata mmoja ambaye yupo tayari kuchomwa na kitu chenye ncha kali au kupigwa mionzi Polonium 210Naomba nijue ukweli kwenye JamiiForums wengine wanasema Urusi ni nchi maskini hata Jimbo moja la marekani linazidi nchi kubwa duniani kiuchumi ambayo ni Russia.
Kama Ni hivo kwanini marekani na NATO wenye utajiri mkubwa Sana duniani wanamgwaya Sana Russia kwenye masuala ya kivita
Mfano USA na NATO walipoanza Vita Iran na Russia akaingia kumsaidia Iran USA na NATO walishindwa, pale Venevuela USA alishindwa baada ya URUSI kutia mguu, na sasa hivi Ukraine Marais karibia 30 wenye uchumi mikubwa duania wanaumiza akili zao kwa nchi moja tu, ambayo Wanasema ni maskini.
Je, nauliza ni kweli URUSI ni nchi maskini kama wamagharibi wanavosema?
We dada mapepe kwenye mada hasa ikitajwa USA bwana Ako anabeba mabox Jimbo gani au yupo Makongo Juu anapambana na vumbiHujui lolote wewe. Unataka wakutangazie?US anataka Ukraine aingie NATO ili waweke mafivaa yao hapo kama walivyoweka kule Poland.
Haukusoma kiswahili? Ni muoga na si mwoga we ngosha
Wengi wao hawajui kiswahili mfano halisi ni mkuu aliyepitaKwanini umuite mwenzio ngosha na sio mchagga, mpare au mkurya!! Kwahiyo akina ngosha hawajui kuandika?
Na Kenya wameshatuponza tayari kwa kuikemea Urusi.Kwa technology ilivyo kwa sasa,usiombe vita dunia itapigwa kiberiti.