Nani mwoga kati ya Russia na NATO yenye nchi kama 30?

Huo mfano uliogusia wa vita yetu na Uganda kusababisha uchumi wetu uchechemee Binafsi ninaamini athari zake ziliishia early 1990s.

Sema tu Kameshachukuliwa kama Sababu na siajabu kakadumu hadi mwaka 2099 kila kizazi kuambiwa moja ya sababu ya kuyumba uchumi wetu ni vita ya Kagera.
 
Wapi US kasema anataka Ukraine iingie NATO?
 
Biden administration walishasema hawawezi izuia Ukraine kuingia NATO.Sema Ujerumani na Ufaransa wamepinga kabisa. Soma habari za kimataifa. Au unataka Biden akupigie simu akuambie ?
unapoteza muda wako kubishana na hao viumbe wao wanaamini kwamba wana hakki yakuona nakusikia vyote kuhusiana na US nakupa pole kwakupoteza muda wako kutoa elimu kwaasie itaka ila nakupa hongera kwakumfunua kama atataka kufunuka
 
Hilo swali lako la "nani mwoga" ni sawa na kuuliza swali kwamba, nani ni rais kati ya Uhuru Kenyatta na Nana Akufo-Addo?

Hali-make sense kwa kiasi kikubwa, sababu wote ni marais!

Hofu na woga ndio vyanzo vya nchi mbalimbali kuwa na majeshi. Hata katika ngazi ya uraiani, watu wanaajiri walinzi, wengine wanafuga mbwa na kujifungia ndani na makofuli makubwa sababu ya hofu ya wizi ama kuvamiwa na majambazi. Bila hofu ama woga kusingekuwa na haja ya kujilinda.
 

NATO ikiongozwa na Marekani ni waoga.

Walitakiwa wamuambie Putin neno moja tu nalo ni “Lianzishe kama kweli wewe ni mwamba” alafu wakae wasubiri waone kama kweli jamaa ataivamia Ukraine, sasa wao pamoja na uwingi wao bado wanaendelea kubwaka utadhani mbwa koko.

Putin anaongea mara chache sana anajua anachokifanya.
 
Biden administration walishasema hawawezi izuia Ukraine kuingia NATO.Sema Ujerumani na Ufaransa wamepinga kabisa. Soma habari za kimataifa. Au unataka Biden akupigie simu akuambie ?
Nasoma, ndio maana nimekuuliza unionyeshe uliposoma. Kwani vibaya?
 
unapoteza muda wako kubishana na hao viumbe wao wanaamini kwamba wana hakki yakuona nakusikia vyote kuhusiana na US nakupa pole kwakupoteza muda wako kutoa elimu kwaasie itaka ila nakupa hongera kwakumfunua kama atataka kufunuka
Kwa hiyo hapa unaona huu ni ufunuo? Swali rahisi tu la kuonyesha wapi umepata ufahamu huo, linashindwa kujibiwa? Eti ndio ufunuo!!
 
Kwa technology ilivyo kwa sasa,usiombe vita dunia itapigwa kiberiti.
 
Kama Ni hivo kwanini nchi Kama Irak au Libya ,nchi za NATO ziliingia kwenye Vita na hazikuogopa kuangukia kiuchumi?
Basi Kama Ni hivo Basi Russia Ni nchi tajiri Ila wamagharibi wanatudanganya
Ziliingia ama zikiingizwa libya na Iraq walikuwa hawana namna, mtu kaishafika sebuleni, anatafuta njia ya kuingia chumbani kwa waifu itabidi ujitutumue tu.
 
[emoji23] Uko sahihi 100%
Hapa tulipo sasa hivi kunachagizwa na viongozi wasio na vision na walafi(wachumia tumbo)
 

Kweli mkuu iliisha ila ilisababisha madhara makubwa sana
Ulikuwa ni mfano tu
Na kwa sasa wenye akili timamu hawapigani hata wakiwa na nguvu kubwa
 
wewe unafikiri vita ni kama mechi ya mpira miguu?
 
Hii komenti ni ya uhakika kabisa
 
Mrusi ana Silaha kali,Nchi za NATO hawataki vita,kwasababu itaspread Ulaya yote..
Ye hana cha kuloose zaidi kufanya fujo tu.
 
Ukraine yenyewe ina jeshi kubwa kuliko NATO yote minus US na Turkey,,
Mfano ujerumani sijui ina vifaru 30 vya kijeshi , [emoji23]
 
Mnajadili hoja nzuri, ila mnabishana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…