Nani mwoga kati ya Russia na NATO yenye nchi kama 30?

Aisee kwahiyo jamii forums wamekubaliana hiyo ndyo jibu!
Basi asanteni
 
Urusi ni moja nchi tajiri kupindukia duniani, hasa kwenye rasilimali kama mafuta, gas, almas (zipo nyingi nyingi sana). Nchi za magharibi zinajitahidi kuiaminisha dunia kuwa urusi ni nchi masikini kwasababu ilifuata siasa za ujamaa. Uongo mtupu!
 
Mmarekani peke yake hana ubavu wa kupigana na urusi. Maisha yake yote
 
Sema kuna watu humu jamiiforum iq yenu ni ndogo kama ya samaki
 
Mrusi arushe kakombola kwa Us kama dunia haitageuka majivu hii.

Wanachokifanya Us kwa sasa ni kumdhoofisha mrusi kwa propaganda chafu lakini mrusi anajibu propaganda za Us kwa kutumia uwezo wake wa Kijeshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huijui urusi, kama marekani angekuwa anamuweza mrusi asingekuwa anategemea mbeleko ya NATO kwenda kupambana na mrusi... imebidi ulaya yote iungane na marekani ili kumkabili mrusi peke yake. Ile ni super power eroo. Hakuna mahali mrusi anatia mguu marekani anashinda, iwe ni Syria au Venezuela.
 
Wewe unaijua urusi kwa kiwango gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urusi masikini?

Hizo ni stori ZA kwenye kahawa
 
THELATHINI KWA MOJA, MBONA JIBU LI WAZI NI 30 WAOGA. NA UMESIKIA HUKO MTU MZIMA KALIMALIZA JAMBO KIASILI SASA YEYE NDO KAJIUNGANISHA NA UKRAINE.
 
Amagedon
 
Kweli USA na NATO na ulaya Ni wanyonge kwa Russia
Leo nimeamini ukiwa mkubwa huwezi ukapigwa na mtoto mdogo Sana
Ndyo maana naamini Russia Ni mbabe kuliko wote kwani hata kwa ukubwa wa eneo USA anaingia Mara mbili kwa Russia
 
Katika hao Marais wa western hakuna hata mmoja ambaye yupo tayari kuchomwa na kitu chenye ncha kali au kupigwa mionzi Polonium 210
 
Hujui lolote wewe. Unataka wakutangazie?US anataka Ukraine aingie NATO ili waweke mafivaa yao hapo kama walivyoweka kule Poland.
We dada mapepe kwenye mada hasa ikitajwa USA bwana Ako anabeba mabox Jimbo gani au yupo Makongo Juu anapambana na vumbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…