Nani mwoga kati ya Russia na NATO yenye nchi kama 30?

Chai halisi ya rangi kutoka TZ.
 
Na Kenya wameshatuponza tayari kwa kuikemea Urusi.
Linaweza kurushwa kombora kutoka Urusi kwenda Kenya,kwa bahati mbaya likatua Bongo[emoji23][emoji23][emoji23]
Usiwe na wasi mkuu, Urusi hakosi shabaha ana technology za kisasa zenye ubora, kila siku ana update silaha zake, anatimia vitu kwa GPS so hawezi kukosa shabaha, sisi tuna urafiki mzuri na Urusi[emoji16][emoji16]

Alaf wanakemea Urusi wakati wao wako Somali wapuuzi hawa
 
Chai halisi ya rangi kutoka TZ.
Hujui kitu, elimu ndogo tulia. Kama unakuja Kiingereza unaweza kugoogle. Leo Mrusi ameingiza majeshi Ukraine tuone huyo marekani na hao NATO watafanya Nini. Watabaki kubwekabweka tu vikwazo lakin hamna kitu watafanya wala risasi moja kufyatua
 
Hujui kitu, elimu ndogo tulia. Kama unakuja Kiingereza unaweza kugoogle. Leo Mrusi ameingiza majeshi Ukraine tuone huyo marekani na hao NATO watafanya Nini. Watabaki kubwekabweka tu vikwazo lakin hamna kitu watafanya wala risasi moja kufyatua
Naona umeleta na vitafunwa kabisa,ili kunogesha chai yako ya rangi.😂😂
 
Mbona jibu liko wazi?

Mwoga Kati yao ni yule anayeogopa Ukraine isijiunge na NATO make atakuwa Hana chake Tena.
 
Naona umeleta na vitafunwa kabisa,ili kunogesha chai yako ya rangi.😂😂
Huna ujualo, wewe ni wale wazee wa vijiwe vya kahawa ndo maana badala ya kuandika facts zozote unaongelea chai.... wajinga wajinga kama nyie huwa napenda kuwapa elimu. Take this...



Sasa mzee wa vijiwe vya kahawa sijui kama lugha inapanda ujue hata wameandika nini hapo..au unaona maluweluwe tu!!!😂😂😂
Nikutafsirie kidogo.. NDIO NCHI TAJIRI KULIKO ZOTE DUNIANI KWENYE RASILIMALI! Ina Mafuta, gas, almasi, dhahabu, fedha...IDIOT!
 
Mrusi ameingiza majeshi Ukraine na hakuna kitu marekani na ulaya nzima wanaweza kufanya. Wameishia kufunga akaunti za Bank na kusema hawana mpango wa kupigana na urusi! Hakuna kitu mtu anaweza kumfanya mrusi hata waungane wote
 
Unanichekesha aisee team USA mlisema Russia hawezi kumega ardhi ya Ukraine Mara haweza kupambana na USA kwa kumlazimisha Ukraine asisaidiwe na USA baada ya mwamba Putin chukua Tena kwa kurahisi baadhi ya ardhi ya Ukraine mmebasilisha Tena Russia Ni mwoga kwa kutoruhusu Ukraine kujiunga na NATO
 

Hii ndiyo fact?Au ni sehemu ya yale uliyoyakariri?
 
Sahihi Kabisa; Refer Mkwara wa Kiduku wa North Korea alivyomwambia Trump kuwa kitufe cha kufyatulia makombora ya masafa marefu kipo mezani kwake. Trump na Marekani yake wakaufyata na kumwalika Kiduku ili wanywe wote kahawa na ikawa hivyo!
 
Hapa utopata jibu kamili mtoa mada.ukitaka kupata jibu kamili basi kamfufue Napoleon na Hitler, awa ndo binadamu pekee ambao watakupa majibu mazuri kuhusu WARUSI
Hili wengi wanajifanya hawalijui!! Au wawaulize wareno kilitokea nini huko Msumbiji na Angola au wakoloni wa Namibia.
 
Kama Vita sio lelemama mbona NATO na USA wanapenda kupika Vita na nchi zingine
Mfano walilazamisha Libya kuingizwa vitani mpaka uchumi wa Libya imeharibiwa
Kwahiyo wanapenda kuchokoza nchi dhaifu?
Unataka waingie vitani ili ufaidi kuangalia movie au

Huoni hatari ya Nuclear war!

Unadhani utabaki hai. . Watch out
 
Umetoa sababu za kikerubi! Mbona US amezipiga nchi kibao tu Hadi wa Amerika walikuwa waiiandamana mitaani kupinga uvamizi wa majesh ya US huko Iraq, Afghanistan,libya n.k, na majeshi ya US yaliziba maskio kabisa, hiyo democrasia unayoihubir ilikuwa wapi muda huo!!?

Marekani huwa hapigani Vita ikiwa atajua hakuna maslahi ya kutosha,lkn pia akijua anaweza kupata hasara kubwa zaidi ,hapo haendi kupigana hata iweje. Marekani anajua russian sio ya kuiendea kichwa kichwa ,maana ni nchi yenye nguvu kijeshi na ki technology,marekani anajua fika kuingia Vita na russian ni sawa na kujitoa muhanga ,au kuvaa mabomu ya gurunet shingoni!!!!
 
Kwamaana hiyo ilikua ni target ya US kuiangusha Ulaya? Maana yeye ndio alikua kinala wa kustimulate hii vita.
Zelensky kaingizwa cha kike ati ...... mwisho anabaki kulalamika, wenzie wanachek kwa kideo.
Au US anaipima nguvu ya Putin kupitia kwa Zelensky?
 
Ukrain ingekua na oil or gas tungeona kivumbi mkuu si ndio maana yake?
 
Swali lako mkuu ni kama kuulizia kama korea kaskazini ni maskini... Sijui jibu ila naamini nguvu ya kijeshi ndo ishu niaje, mrusi yuko juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…