Nimeshaeleza imekuwa very much politicized.Umepimaje uimara wa jwtz ukaona siyo Imara?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshaeleza imekuwa very much politicized.Umepimaje uimara wa jwtz ukaona siyo Imara?
Imekua politicized kivipi!?Nimeshaeleza imekuwa very much politicized.
Wakuu wake wanateuliwa kushika nyadhifa ambazo ili uteuliwe lazima uwe mwanachama wa chama cha Mapinduzi, badala ya wao kufanya kazi za jeshi tu walizosomea na kuapa kuilinda nchi.Imekua politicized kivipi!?
Tangu nyerere mtumishi wa umma alikua na kadi ya ccm,na je huyo mwanajeshi mwenye kadi ya ccm uanajeshi wake hutetereka kisa kadi!?Wakuu wake wanateuliwa kushika nyadhifa ambazo ili uteuliwe lazima uwe mwanachama wa chama cha Mapinduzi, badala ya wao kufanya kazi za jeshi tu walizosomea na kuapa kuilinda nchi.
Umeandika ushabiki tu.... hao Al shabaab kwa sasa wamegeuka 'insurgence force' japo wanashikilia baadhi ya maeneo .....hao M23 ni 'conventional army' tena wanapokea msaada kutoka taifa jirani ndio maana imekuwa rahisi kwao kuteka maeneo muhimu ya Drc hao ni rahisi kupambana nao maana wanaonekana na kufahamika....hivyo KDF inawamudusuper power my chocolate a$$, anashindwa na 'wanamgambo' wa Al-Shabab wanaopigana 'jangwani' hakuna pa kujificha
ataweza 'jeshi la kimapinduzi' linalopigana 'msituni' kweli ?
Mbona hushangai Marekani kupambana na Taliban miaka 20?... insurgency forces sio rahisi kuwashinda tena kibaya zaidi wanaendeshwa na itikadi za kiimani.Urban ipi ? KDF iko na troops kibao kwenye jangwa za Somalia, unapaita Urban ?
KDF-Jeshi, linalotrainiwa na jeshi la kimarekani kila kukicha, na wenye vifaa vya kivita vya kisasa, kupambana na 'wanamgambo' wenye 'AK47' miaka nenda rudi ?
ujinga kiwango cha Bitumen kuiita Kenya super-power
Wewe unaijua Tanzania ya JF tu. Jichanganye.Amini amini nawaambia huenda Rwanda na udogo wake wa eneo ndio super power.
Tanzania na ukubwa wake wa eneo imekosa critical thinkers, inaendeshwa na ulaghai na uchawi.
Rais anazunguka dunia nzima kuomba misada, misada inaliwa kizembe tu, hamna anayechukuliwa hatua.
Mnafuja hela, nchi itaendelea lini?
Wewe unaijua Tanzania ya JF tu. Jichanganye.
Amini amini nawaambia huenda Rwanda na udogo wake wa eneo ndio super power.
Tanzania na ukubwa wake wa eneo imekosa critical thinkers, inaendeshwa na ulaghai na uchawi.
Rais anazunguka dunia nzima kuomba misada, misada inaliwa kizembe tu, hamna anayechukuliwa hatua.
Mnafuja hela, nchi itaendelea lini?
Umemu Underestimate Rwanda sana. Uwanjani lolote huwa linaweza kutokea na siku zote yule anayoonekana hana uwezo ndio mwenye probability kubwa yakuibuka na ushindiSiku zote panapofuka moshi ujue kuna moto hivyo kila jambo linalotokea huwa halikosi sababu. Kenya ameonekana kujiandaa kupekeka mamia ya wanajeshi Congo baada ya waasi kupata nguvu mashariki ya Congo na kukua kwa uhasama kati ya congo na Rwanda.
Ikumbukwe mwaka 2013 Tanzania alipeleka battalion kuunda brigade ambayo ilijumuisha askari kutoka Malawi na south Africa. Kikosi kile cha kwanza kilikuwa cha moto kilisheheni makomandoo, maafisa wataalamu wa siliaha walikinukisha sio mchezo. Habari ya M23 hatakuisikia tena leo wamepata wapi nguvu?
Taarifa za ujasusi zinabainisha kuwa Kigali inahusika kulipa msaada kundi la M23 kama ilivyofanya mwaka 2002 na kudhibitiwa na majeshi ya Angola na Zimbabwe. Je Tanzania ushawishi wetu umeshuka? au ushwahiba wa kagame na aliekuwa jamaa flani umechangia Rwanda kutunisha misuli?, Je Kenya ndio super power kwa sasa naomba kuwasilisha hoja
We jichanganye tu eti Rwanda ndio Super Power Afrika Mashariki.Kweli wewe ni Mtoto wa Shule kwani kuna Tanzania ngapi duniani,?
Kwa Tanzania asilimia kubwa ya watu wa TISS wana akili ndogo sana.Wenzetu huwa wanatumia platform kama hizi za jamii forums kuchukua mambo na kuyajadili kwa maslahi mapana ya Taifa... Lakini Tanzania nina uhakika Usalama akiona hii mada na comments zake... Atasoma huku anabinya mdomo na kusonya... Kwamba tunaandika upuuzi na mashudu... Kuna muda unakaa chini na kusema nchi yetu kuna uwezekano mkubwa viongozi wengi wa ngazi za juu kwenye taasisi mbalimbali si watanzania bali ni mapandikizi wa nchi zingine
Tanzania 🇹🇿 ni big noseWe jichanganye tu eti Rwanda ndio Super Power Afrika Mashariki.
Upo sasa kuna RPC mmoja mstaafu (ana miezi 2 toka astafu)Kwa Tanzania asilimia kubwa ya watu wa TISS wana akili ndogo sana.
Speaking from experience.
Ha ha mbanga kakutapeli.Upo sasa kuna RPC mmoja mstaafu (ana miezi 2 toka astafu)
Ametapeliwa hela zake na jamaa fulani anafanya kazi ikulu RPC alitoa hela ili binti yake ambae kamaliza chuo aingizwe idara nyeti
Sasa kama RPC anatapeliwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu kamaliza tu chuo baba yake ambae ni RPC anahonga ili mwanae aingie idara nyeti unadhani hata huyo mtoto akiingia atakuwa mtu wa namna gan [emoji23][emoji23][emoji23]
ALL IN jamaa wa ikulu usiponirudishia hela yangu au kunipeleka MSATA nitakuloga kwa kweli
Kanipiga bhana vijisent vyangu
Ha ha ha sema Nini siku hizi hata vile vitolewavyo bure kwa wahitaji huuzwa man.Kanipiga bhana vijisent vyangu