Nani ndio super power wa ukweli ukanda wa maziwa makuu kudhibiti mikwara ya Rwanda na Congo

Wakuu wake wanateuliwa kushika nyadhifa ambazo ili uteuliwe lazima uwe mwanachama wa chama cha Mapinduzi, badala ya wao kufanya kazi za jeshi tu walizosomea na kuapa kuilinda nchi.
Tangu nyerere mtumishi wa umma alikua na kadi ya ccm,na je huyo mwanajeshi mwenye kadi ya ccm uanajeshi wake hutetereka kisa kadi!?
 
Wenzetu huwa wanatumia platform kama hizi za jamii forums kuchukua mambo na kuyajadili kwa maslahi mapana ya Taifa... Lakini Tanzania nina uhakika Usalama akiona hii mada na comments zake... Atasoma huku anabinya mdomo na kusonya... Kwamba tunaandika upuuzi na mashudu... Kuna muda unakaa chini na kusema nchi yetu kuna uwezekano mkubwa viongozi wengi wa ngazi za juu kwenye taasisi mbalimbali si watanzania bali ni mapandikizi wa nchi zingine
 
super power my chocolate a$$, anashindwa na 'wanamgambo' wa Al-Shabab wanaopigana 'jangwani' hakuna pa kujificha

ataweza 'jeshi la kimapinduzi' linalopigana 'msituni' kweli ?
Umeandika ushabiki tu.... hao Al shabaab kwa sasa wamegeuka 'insurgence force' japo wanashikilia baadhi ya maeneo .....hao M23 ni 'conventional army' tena wanapokea msaada kutoka taifa jirani ndio maana imekuwa rahisi kwao kuteka maeneo muhimu ya Drc hao ni rahisi kupambana nao maana wanaonekana na kufahamika....hivyo KDF inawamudu
 
Mbona hushangai Marekani kupambana na Taliban miaka 20?... insurgency forces sio rahisi kuwashinda tena kibaya zaidi wanaendeshwa na itikadi za kiimani.
 
Wewe unaijua Tanzania ya JF tu. Jichanganye.
 
Tuna raisi mzembe Sana, wizi unafanyika wazizi na anakaa kimya Tu,
CAG ametoa report yake Bunge limesema Hana ushahidi wa kutosha
Sasa ivi serikali kuiba pesa za walipa Kodi nijambo la kujivunia kila MTU anakula Kwa urefu wa kamba yake.
 
Umemu Underestimate Rwanda sana. Uwanjani lolote huwa linaweza kutokea na siku zote yule anayoonekana hana uwezo ndio mwenye probability kubwa yakuibuka na ushindi
 
Kwa Tanzania asilimia kubwa ya watu wa TISS wana akili ndogo sana.

Speaking from experience.
 
Kwa Tanzania asilimia kubwa ya watu wa TISS wana akili ndogo sana.

Speaking from experience.
Upo sasa kuna RPC mmoja mstaafu (ana miezi 2 toka astafu)

Ametapeliwa hela zake na jamaa fulani anafanya kazi ikulu RPC alitoa hela ili binti yake ambae kamaliza chuo aingizwe idara nyeti

Sasa kama RPC anatapeliwa [emoji23][emoji23][emoji23]

Mtu kamaliza tu chuo baba yake ambae ni RPC anahonga ili mwanae aingie idara nyeti unadhani hata huyo mtoto akiingia atakuwa mtu wa namna gan [emoji23][emoji23][emoji23]

ALL IN jamaa wa ikulu usiponirudishia hela yangu au kunipeleka MSATA nitakuloga kwa kweli
 
Ha ha mbanga kakutapeli.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…