Nani ndo anampata mwanamke easily?

Nani ndo anampata mwanamke easily?

Kuwa romantic haina maana hela ya good times haipo ila badala ya kutanguliza pesa mbele kama ananunua malaya wa kona bar anatanguliza hiyo kitu.
Thubutuuuu uromantic bila hela naonaga kama unakua ni kero flani hivi...
 
Hv unaweza uwe romantic halafu usiwe caring guy?
Mkuu wanawake huwa hawajui ni nini wanapenda... zaidi ya kuwa emotionally driven basi, na juwa watapinga lakini huo ndiyo ukweli

Ukifanikowa kuteka hisia zake basi inatosha!
 
Back
Top Bottom