sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Nilikuwa natazama nominations ya tuzo fulani hapa Tanzania.
Nikaona majina ya brand ambassadors wanaochuana kama mnavyoona kwenye picha.
Kwa mtazamo wako unadhani ni nani bingwa hapa kwa kuitambulisha bidhaa kwa mteja na ikamvutia na kuitumia?
Mimi kwa sasa nasimama na Babalevo.