Nani ni Brand ambassador bora Tanzania kwa sasa kati ya Babalevo, Idriss Sultan, Mwijaku na Joti?

View attachment 3156756
Nilikuwa natazama nominations ya tuzo fulani hapa Tanzania.

Nikaona majina ya brand ambassadors wanaochuana kama mnavyoona kwenye picha.

Kwa mtazamo wako unadhani ni nani bingwa hapa kwa kuitambulisha bidhaa kwa mteja na ikamvutia na kuitumia?

Mimi kwa sasa nasimama na Babalevo.
labda ungesema chawa bora wa mama wa ccm sawa
 
1- Joti
2- Idris sultan

Hao wengine ni uchawa mwingi sana, kama huyo baba levo wako yupo radhi kuolewa na boss kabisa, hamna mtu apo.
 
View attachment 3156756
Nilikuwa natazama nominations ya tuzo fulani hapa Tanzania.

Nikaona majina ya brand ambassadors wanaochuana kama mnavyoona kwenye picha.

Kwa mtazamo wako unadhani ni nani bingwa hapa kwa kuitambulisha bidhaa kwa mteja na ikamvutia na kuitumia?

Mimi kwa sasa nasimama na Babalevo.
Mwijaku na baba levo ni machawa tu mikundu yao watoe hapo
 
Back
Top Bottom