Nani ni Brand ambassador bora Tanzania kwa sasa kati ya Babalevo, Idriss Sultan, Mwijaku na Joti?

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066

Nilikuwa natazama nominations ya tuzo fulani hapa Tanzania.

Nikaona majina ya brand ambassadors wanaochuana kama mnavyoona kwenye picha.

Kwa mtazamo wako unadhani ni nani bingwa hapa kwa kuitambulisha bidhaa kwa mteja na ikamvutia na kuitumia?

Mimi kwa sasa nasimama na Babalevo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…