It's not none but a dj tas representing to the fullestDj tas
Ana tatizo kidogo la beat matching bt yupo poa kwingineDJ summer wa Ea radio huwa napendezwa na mixing zake, na anapiga nyimbo zote, dini na bongo flava
DJ unayemkubali ni yupi?Ana tatizo kidogo la beat matching bt yupo poa kwingine
Summer huwa anashindwa kumatch beats lakini pia mixing yake haiko poa sana unakuta anakata wimbo ndiyo anaanzisha mwingine.Ana tatizo kidogo la beat matching bt yupo poa kwingine
List yangu ina dj willy be, mafuvu, davy, tass na dj chris nyitiDJ unayemkubali ni yupi?
Anatumia sana mifumo ya kihengaSummer huwa anashindwa kumatch beats lakini pia mixing yake haiko poa sana unakuta anakata wimbo ndiyo anaanzisha mwingine.
Though ameimprove kidogo nowadays
DeeJay Summer ROLL IT UP!!!DJ summer wa Ea radio huwa napendezwa na mixing zake, na anapiga nyimbo zote, dini na bongo flava
Watangazaji wakali walikuwepo kama skywalker, uncle sam, dk the simpleman, glory, kid bway n.k ila sijui kuna tatizo gan pale hadi presenters wanahamaDj mousser naye yuko vzr,kwa ujumla sahara media wanajitahidi mno kuchagua dj's wazuri wanafeli ktk kutengeneza vipaji vya watangazaji wazuri
Andika kiswahili bhana wengine sisi tulisoma madrassaIt's not none but a dj tas representing to the fullest