Nani ni DJ bora kwa mwaka 2017?

Nani ni DJ bora kwa mwaka 2017?

Bblackboy

Member
Joined
Dec 29, 2017
Posts
35
Reaction score
39
Kwanza poleni na majukumu wakuu.

Huwa nina tabia ya kusikiliza na kutizama show mbalimbali za kiburudani kwenye radio na tv stations mbalimbali za nchini na nje kwa majirani lakini kwa mwaka huu dj aliyenikosha tukianzia ngoma kali, blending nyoofu, scratching techniques kali, jingles pamoja na maujanja mengine ni huyu jamaa Dj willy b (kiss fm tanzania)

Ni mtazamo tu, hebu na ww mtaje dj wako aliyefanya vizur 2017.
 
DJ Dea na DJ Makey wa EA radio hawa kiboko kwa kuchagua ngoma na mixing tamu huchoki kusikiliza
Na wengine kama DJ Nico track pamoja na ommy crazy noma sana hawa watu.
Achana na hao mdj wa vichochoroni
 
Ana tatizo kidogo la beat matching bt yupo poa kwingine
Summer huwa anashindwa kumatch beats lakini pia mixing yake haiko poa sana unakuta anakata wimbo ndiyo anaanzisha mwingine.
Though ameimprove kidogo nowadays
 
Dj mousser naye yuko vzr,kwa ujumla sahara media wanajitahidi mno kuchagua dj's wazuri wanafeli ktk kutengeneza vipaji vya watangazaji wazuri
Watangazaji wakali walikuwepo kama skywalker, uncle sam, dk the simpleman, glory, kid bway n.k ila sijui kuna tatizo gan pale hadi presenters wanahama
 
Back
Top Bottom