kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,511
- 4,369
Umjue ili umpelekee kesi ya uhujumu uchumi?Habari za jumapili wakuu?
Naomba kufahamishwa,kwa miaka mingi sasa,kuna hizi shule mbili za Twibhoki na Graiyaki zilizoko wilayani serengeti mkoani mara zimekuwa hazikosekani top 5 ya kwenye matokeo ya shule za msingi.ningependa kufahamu mmiliki wake ni nani?
Kha! Hili jibu🙄Umjue ili umpelekee kesi ya uhujumu uchumi?
Wabongo hawakosi fitna.Kha! Hili jibu🙄
Kwani hizo shule hazijasajiwa hadi taarifa ya uhujumu ije itafutwe jf!?
Hizi shule zimekuja juu sana. Kwa mkoa wa Mara sasa zimeitoa Kowack girls kwenye namba moja. Nasikia ni za mtu moja (Twibhoki &Girinyakhi)Habari za jumapili wakuu?
Naomba kufahamishwa,kwa miaka mingi sasa,kuna hizi shule mbili za Twibhoki na Graiyaki zilizoko wilayani serengeti mkoani mara zimekuwa hazikosekani top 5 ya kwenye matokeo ya shule za msingi.ningependa kufahamu mmiliki wake ni nani?
Mmiliki alikuwa wizara ya elimu,Mmiliki wa Twibokh anaeonekana kwa macho ya kawaida ni Mmama fulani hivi,ambaye inasemekana aliwahi hudumu wizara ya elimu,hiyo nyingine ni ya mtoto wake wa kike.Ukitaka undani tukupe number zao uwaulize
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Hivi ikizu ilishakufa?nayo kuna wakati ilikuwa moto sanaHizi shule zimekuja juu sana. Kwa mkoa wa Mara sasa zimeitoa Kowack girls kwenye namba moja. Nasikia ni za mtu moja (Twibhoki &Girinyakhi)
Odhis *
Imekuwa ya kawaida sana kama tu za serikali . Haishindani tena , nafikiri wanachukuwa wanafunzi wengi kupita uwezo wao wa ufundishajiHivi ikizu ilishakufa?nayo kuna wakati ilikuwa moto sana
Kama ufaulu siyo elimu , basi vyuo vingechukuwa wa div. 4 & 0 . Lakini unaona wanachukuliwa waliofaulu kuendelea kuelimika na wasiofaulu wakirudishwa mitaaniTanzania watu wanaangalia ufaulu wa mitihani na kudhani ufaulu ndiyo elimu bora. Hii imefanya baadhi ya shule kutumia njia harama ili mradi tu wanafunzi wake waonekane wanafaulu sana. Kuna shule zimejiingiza mpaka kwenye kutafuta mitihani na kuifundisha kwa ujanja (bila wanafunzi kufahamu) ili wanafunzi wafaulu kwa wingi na shule isifike.
Usaili ukifanyika kwa ujanja janja, viwango basi matokeo yanakuwa hayatoi hali halisi. Na ndicho kinachfanyika kwenye baadhi ya shule. Unajua unaweza kum-train kwa njia za short cut na haramu mtu ambaye ni darasa la saba akafanya mtihani na akafanya mtihani wa form four kwa ufaulu mzuri tu? Je anakuwa ameelimika japo atafaulu?Kama ufaulu siyo elimu , basi vyuo vingechukuwa wa div. 4 & 0 . Lakini unaona wanachukuliwa waliofaulu kuendelea kuelimika na wasiofaulu wakirudishwa mitaani
Odhis *
Bado "ufaulu" Macho mdiliko ni kigezo cha kujua na kuelimika. Vinginevyo viwepo vigezo vingine .Usaili ukifanyika kwa ujanja janja, viwango basi matokeo yanakuwa hayatoi hali halisi. Na ndicho kinachfanyika kwenye baadhi ya shule. Unajua unaweza kum-train kwa njia za short cut na haramu mtu ambaye ni darasa la saba akafanya mtihani na akafanya mtihani wa form four kwa ufaulu mzuri tu? Je anakuwa ameelimika japo atafaulu?
Narudia. Ufaulu ni kigezo ambacho ni rahisi kutumika vibaya kama inavyofanyika Tanzania. Umebahatika kusoma nje ya nchi? Sidhani na nina uhakika kama jibu ni ndiyo usingekuwa unapingana na mimi.Bado "ufaulu" Macho mdiliko ni kigezo cha kujua na kuelimika. Vinginevyo viwepo vigezo vingine .
Ndiyo utaona wazazi wakifirisikia kutafuta elimu bora mpaka nje ya nchi. Hakuna siku vigezo vikawa tofauti.
Odhis *