Ni Mimi.Habari za jumapili wakuu?
Naomba kufahamishwa, kwa miaka mingi sasa, kuna hizi shule mbili za Twibhoki na Graiyaki zilizoko wilayani Serengeti mkoani Mara, zimekuwa hazikosekani top 5 ya kwenye matokeo ya shule za msingi.
Ningependa kufahamu mmiliki wake ni nani?
Unasemaje?