Ni Mimi.Habari za jumapili wakuu?
Naomba kufahamishwa, kwa miaka mingi sasa, kuna hizi shule mbili za Twibhoki na Graiyaki zilizoko wilayani Serengeti mkoani Mara, zimekuwa hazikosekani top 5 ya kwenye matokeo ya shule za msingi.
Ningependa kufahamu mmiliki wake ni nani?
Yaani wewe sijui umekuwaje,Mmiliki ni bilionea Laizer
Hivi yule jamaa niaje asee?Dkt kumbuka
Yule jamaa Ni aje! Born herehere.Hivi yule jamaa niaje asee?
Mkuu umepotea sanaTwibhoki inamilikiwa na Mwajuma Masaigana.
za ChikumbalangaHabari za jumapili wakuu?
Naomba kufahamishwa, kwa miaka mingi sasa, kuna hizi shule mbili za Twibhoki na Graiyaki zilizoko wilayani Serengeti mkoani Mara, zimekuwa hazikosekani top 5 ya kwenye matokeo ya shule za msingi.
Ningependa kufahamu mmiliki wake ni nani?
Acha uongo kigezo kila eneo ni ufaulu hebu fikiria pilot hajafaulu masomo yake ya u pilot si ataangusha ndegeNarudia. Ufaulu ni kigezo ambacho ni rahisi kutumika vibaya kama inavyofanyika Tanzania. Umebahatika kusoma nje ya nchi? Sidhani na nina uhakika kama jibu ni ndiyo usingekuwa unapingana na mimi.
Leo nakupa like isiyo na unafiki. Kumbe huwa unazo !!Acha uongo kigezo kila eneo ni ufaulu hebu fikiria pilot hajafaulu masomo yake ya u pilot si ataangusha ndege
Au daktari hajafaulu masomo yake si atasahau mikasi tumboni
Usijifariji ufaulu ndio kila kitu
Hujaelewa ninachosimamia hapa ndiyo maana unagugumia. Ufaulu unategemea factors gani na kwenye mazingira gani? Nazungumzia ule ufaulu unaopimwa kwa vigezo vingi na mazingira muafaka na siyo ufaulu unaopimwa kwa kigezo cha mtihani tu tena kwenye mazingira ya wanafunzi kujua majibu kabla hawajaingia kwenye mitihani.Acha uongo kigezo kila eneo ni ufaulu hebu fikiria pilot hajafaulu masomo yake ya u pilot si ataangusha ndege
Au daktari hajafaulu masomo yake si atasahau mikasi tumboni
Usijifariji ufaulu ndio kila kitu
ulichoandika unakijua mwenyeweHujaelewa ninachosimamia hapa ndiyo maana unagugumia. Ufaulu unategemea factors gani na kwenye mazingira gani? Nazungumzia ule ufaulu unaopimwa kwa vigezo vingi na mazingira muafaka na siyo ufaulu unaopimwa kwa kigezo cha mtihani tu tena kwenye mazingira ya wanafunzi kujua majibu kabla hawajaingia kwenye mitihani.
Acha uongo, lini Ikizu iliwahi kuwa moto?! Ikizu ni Shule ya Kawaida ya muda wote!Hivi ikizu ilishakufa?nayo kuna wakati ilikuwa moto sana
Uko sahihi chief, mama mtu mzima sasa mkazi wa bagamoyo.Twibhoki inamilikiwa na Mwajuma Masaigana.
Hyo avatar image ni wewe mbo pisi Kali Sana auMmiliki ni bilionea Laizer
Shule zote (Twibhoki na Graiyaki) zinaanzia chekechea hadi sekondari ( O level)..Mumiliki ni #Mwajuma masaigana yeye ni Kanika la natta,amempatia binti yake kuwa manager wa hiyo shule,Anashule nyingine pwani,nayo inafanya vizuri pia
Nimewahi kufundisha #Twibhoki, ilianza Kama shule ya msingi,mafanikio yalipokuja akaanzisha sekondari
Grayaki ilianzishwa na madame Grace(manager) akishiriana na mumewe ambaye ni mumiliki wa kampuni ya utalii serengeti national park
Nishule nzuri Sana,walimu wengi ni wakenya,watanzania wachache hufundisha civics&history