Nani ni shujaa wako au msaliti kwenye siasa za Tanzania?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Kwenye siasa kuna mambo hutokea na kuwafanya watu mashujaa ama wasaliti.

Wewe kama mtanzania tangu uhuru wa Tanganyika mwaka 1961 na mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964, nani unadhani kwako ni shujaa ama msaliti kwa Taifa hili?
 
Babu wa Loliondo aliwasaliti watanzania kwa kukubali atumike kuhamisha mijadala ya kitaifa kwa kusema dawa yake inayotokana na mmea unaofahamika kwa jina la Mugariga kuwa inatibu Kila aina ya ugonjwa.
 
Huyo pekee ndiye msaliti mkubwa kwako?...
 
Kwenye siasa kuna mambo hutokea na kuwafanya watu mashujaa ama wasaliti.

Wewe kama mtanzania tangu uhuru wa Tanganyika mwaka 1961 na mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964, nani unadhani kwako ni shujaa ama msaliti kwa Taifa hili?
Kwenye siasa kuna mambo hutokea na kuwafanya watu mashujaa ama wasaliti.

Wewe kama mtanzania tangu uhuru wa Tanganyika mwaka 1961 na mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964, nani unadhani kwako ni shujaa ama msaliti kwa Taifa hili?
Chaumwa,COVID-19, Ofisi ya malezi wa vyama,tume ya uchafuzi,chawa wote,mafisadi wote,washika mtutu walio tuuwa kama kuku.Mimi na wasaliti pekee
 
Back
Top Bottom