Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Magufuli ndiyo katufikisha hapa ambapo utekaji na uuaji imekuwa new normal, kukanyaga demokrasia na kuvuruga utawala wa sheriaMsaliti anajulikana,samuya
Huyo pekee ndiye msaliti mkubwa kwako?...Babu wa Loliondo aliwasaliti watanzania kwa kukubali atumike kuhamisha mijadala ya kitaifa kwa kusema dawa yake inayotokana na mmea unaofahamika kwa jina la Mugariga kuwa inatibu Kila aina ya ugonjwa.
Ni mmojawapo!Huyo pekee ndiye msaliti mkubwa kwako?...
Kwenye siasa kuna mambo hutokea na kuwafanya watu mashujaa ama wasaliti.
Wewe kama mtanzania tangu uhuru wa Tanganyika mwaka 1961 na mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964, nani unadhani kwako ni shujaa ama msaliti kwa Taifa hili?
Chaumwa,COVID-19, Ofisi ya malezi wa vyama,tume ya uchafuzi,chawa wote,mafisadi wote,washika mtutu walio tuuwa kama kuku.Mimi na wasaliti pekeeKwenye siasa kuna mambo hutokea na kuwafanya watu mashujaa ama wasaliti.
Wewe kama mtanzania tangu uhuru wa Tanganyika mwaka 1961 na mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964, nani unadhani kwako ni shujaa ama msaliti kwa Taifa hili?