Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Koments za waja sasa🤠😁😁😁! Khakhakhaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Koments za waja sasa🤠😁😁😁! Khakhakhaaaa
Mtoa mada inabidi umtake radhi sana Mika mwamba mpaka sasa, maana kumfananisha na huyo mtoto wa juzi kwenye game ni kumvunjia heshima yake alio iweka kipindi kirefu sasa.
Leo kumekuwa na ubishani mkali, je ni nani Producer Bora wa mziki , kati ya Producer namba moja wa muda wote wa Tanzania ajulikanae kama s2kizzy, na engineer wa mziki aliewahi kuwa producer wa nyimbo za bongo fleva Kwa Jina Milka Mwamba.
Sasa s2kizzy ambaye Kwa Sasa ni namba moja nchini ametengeneza nyimbo kama Tetema, far away diamond, enjoy, na Mila Mwamba ametengeneza nyimbo kama Twenzetu ya chege, na Mabinti wa kitanga Bwana misosi.
Wanajamvini ambao sio watoto wa 2000, Nina matumaini wanawajua maproducer wote Hawa wawili, Sasa nani mkali kati ya mzungu mika Mwamba na mbongo S2kizzy
Hivi nani alitengeneza beat ya Mtoto Idd By Juma Kiroboto Nature???Vijana wa 2000 mnajitekenya eti hivi mnajua mika mwamba nyie ebu kasikilizeni
1. Mtoto wa geti kali by gangwe mob
2. Chambua kama kalanga by saida kaloli
3.kamanda by daznundaz
4. Barua by daznundaz
5. Nakupenda mpenzi by dudu baya
6. Salome by Dully
Asiee ngoja niishie hapa
Producer: P Funk MajaniHivi nani alitengeneza beat ya Mtoto Idd By Juma Kiroboto Nature???
Naikubari saaana
All time which yaani wakati hata Double B tu hamfikii. Hebu vijana wa 2000 muwe na heshima.Hujasikia tambo za S2kizzy kwamba ni greatest of all time
Kwamba mika ni cocaine sio hahahahaaaa too much drip on thisYani wewe jamaa unafananisha tumbaku na cocaine?
Ongezea na SamplingBeat maker,mastering & mixing....
Mika mwamba
Leo kumekuwa na ubishani mkali, je ni nani Producer Bora wa mziki , kati ya Producer namba moja wa muda wote wa Tanzania ajulikanae kama s2kizzy, na engineer wa mziki aliewahi kuwa producer wa nyimbo za bongo fleva Kwa Jina Milka Mwamba.
Sasa s2kizzy ambaye Kwa Sasa ni namba moja nchini ametengeneza nyimbo kama Tetema, far away diamond, enjoy, na Mila Mwamba ametengeneza nyimbo kama Twenzetu ya chege, na Mabinti wa kitanga Bwana misosi.
Wanajamvini ambao sio watoto wa 2000, Nina matumaini wanawajua maproducer wote Hawa wawili, Sasa nani mkali kati ya mzungu mika Mwamba na mbongo S2kizzy
Mkuu yaani nimelia sanaVijana wa 2000 mnajitekenya eti hivi mnajua mika mwamba nyie ebu kasikilizeni
1. Mtoto wa geti kali by gangwe mob
2. Chambua kama kalanga by saida kaloli
3.kamanda by daznundaz
4. Barua by daznundaz
5. Nakupenda mpenzi by dudu baya
6. Salome by Dully
Asiee ngoja niishie hapa