Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Moderators mnawezaje kuruhusu hiki kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo haukua ubishani bali ni utoto, na wewe umeuchukua huo utoto umeileta kwenye meza ya watu wazima.
Leo kumekuwa na ubishani mkali, je ni nani Producer Bora wa mziki , kati ya Producer namba moja wa muda wote wa Tanzania ajulikanae kama s2kizzy, na engineer wa mziki aliewahi kuwa producer wa nyimbo za bongo fleva Kwa Jina Milka Mwamba.
Sasa s2kizzy ambaye Kwa Sasa ni namba moja nchini ametengeneza nyimbo kama Tetema, far away diamond, enjoy, na Mila Mwamba ametengeneza nyimbo kama Twenzetu ya chege, na Mabinti wa kitanga Bwana misosi.
Wanajamvini ambao sio watoto wa 2000, Nina matumaini wanawajua maproducer wote Hawa wawili, Sasa nani mkali kati ya mzungu mika Mwamba na mbongo S2kizzy
Nasisitiza tena, Usimfananishe Mika Mwamba na huo ushubwada

Ongezea na ile twenzetu ya chege na temba beat yake ile ngoma ilivyo kuwa hatar mpaka leo hii..Vijana wa 2000 mnajitekenya eti hivi mnajua mika mwamba nyie ebu kasikilizeni
1. Mtoto wa geti kali by gangwe mob
2. Chambua kama kalanga by saida kaloli
3.kamanda by daznundaz
4. Barua by daznundaz
5. Nakupenda mpenzi by dudu baya
6. Salome by Dully
Asiee ngoja niishie hapa
Hawa watoto wamekosa adabu kabisa.pale Mika Mwamba anapokuwa compared na upinde
Vijana wanamkosea adabu mika au wakasikilize baby girl by Mad ice mika alikuwa noma P https://jamii.app/JFUserGuide anakukataa mika a akurembaMkuu yaani nimelia sana
Ongeza na Tamala ya Hardmad slimdadyVijana wa 2000 mnajitekenya eti hivi mnajua mika mwamba nyie ebu kasikilizeni
1. Mtoto wa geti kali by gangwe mob
2. Chambua kama kalanga by saida kaloli
3.kamanda by daznundaz
4. Barua by daznundaz
5. Nakupenda mpenzi by dudu baya
6. Salome by Dully
Asiee ngoja niishie hapa