Nani Producer Mkali, S2Kizzy Vs Mika Mwamba?

Music producer.....naomba kupata maana halisi...
Nilmsikia zombie akisema yeye hupendelea zaidi kufanya mixing au mastering (hapa sikumbuki vizuri) sababu ni rahisi kuliko kutengeneza beats,alidai beats zinachukua muda mrefu.
Beat maker,mastering & mixing....
 
Mtoa mada inabidi umtake radhi sana Mika mwamba mpaka sasa, maana kumfananisha na huyo mtoto wa juzi kwenye game ni kumvunjia heshima yake alio iweka kipindi kirefu sasa.
 
Vijana wa 2000 mnajitekenya eti hivi mnajua mika mwamba nyie ebu kasikilizeni
1. Mtoto wa geti kali by gangwe mob
2. Chambua kama kalanga by saida kaloli
3.kamanda by daznundaz
4. Barua by daznundaz
5. Nakupenda mpenzi by dudu baya
6. Salome by Dully
Asiee ngoja niishie hapa
 
Hivi nani alitengeneza beat ya Mtoto Idd By Juma Kiroboto Nature???


Naikubari saaana
 
Zombie S2KIZZY Ile Ngoma uliyotumia ZEZE nimekuelewa, hivi Ile Ngoma inaitwaje uliyomkodishia Jamaa wa kupiga ZEZE kutoka Dodoma na ukalipia nauli ya Ndege kwenda na kurudi alafu ukamlipa kabisa na Pesa yake yote, Ngoma inaitwaje Mzee wangu Zombie?
 
Mika mwamba
 
Mkuu yaani nimelia sana
 
Duuuuuh! Mnamfananisha Mikhah Mwamba na S2Kizzy? Hii sio sawa, mnamvunjia heshima sana Mickah Mwamba aseee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…