Nani Producer Mkali, S2Kizzy Vs Mika Mwamba?

Huo haukua ubishani bali ni utoto, na wewe umeuchukua huo utoto umeileta kwenye meza ya watu wazima.
 
Nasisitiza tena, Usimfananishe Mika Mwamba na huo ushubwada

Tobe honest s2kizzy sio producer ni beat maker, na ndio maana karibu hitsong zake karibu zoote mwishoni utasikia kamix laizer


Sasa ukifika hatua unanyonga vitu vyako mwanzo mwisho wewe nifundi, na sio lazima iwe hivyo ila atleast uweze
 
Ongezea na ile twenzetu ya chege na temba beat yake ile ngoma ilivyo kuwa hatar mpaka leo hii..
 
Mikka Mwamba Pia ndo alitengeneza Album ya Saida Kalori, na moja ya hiti kubwa sana ya muda wote ya Saida , Chambua kama karanga, sijui kama S2kizzy ameshawahi kutengeneza nyimbo iliyohit sana kama Chambua kama karanga
 

Attachments

  • IMG_20240523_115505_056.jpg
    5.5 MB · Views: 7
Ongeza na Tamala ya Hardmad slimdady
 
Mtoa mada, naona unafananisha Real Music Producer vs Beat Maker (Sampling)

Miikka Mwamba ni bora kumzidi S2Kizzy milele na milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…