I am master of my own destinySio Kweli Mkuu,
Ni Labda Hujaelewa Maana Ya Role Model
Kila Kitu Kinachokubadilisha Au Kukufumbua Macho Kimtazamo Ni Moja Ya Huyo Role Model,
Yaweza Kuwa Mzazi Wako, Dada, Kaka, Mjomba, Kiongozi Wa Dini, Siasa, etc
Wengi Ukisema Role Model, Akili Zinaamia Kwa Kina Hamisa Mobeto, Sijui Mondi. This Is Common Misconception.
Sent using Jamii Forums mobile app
That's Merely An Opinion Not A Fact Comrade, Otherwise Don't Tell Me You Haven't Learnt Anything From Anybody.
Ubunifu,msimamo wa kweli wa kiume,misemo ya kumfanya MTU asikate tamaa katika maisha.Nini Kimekuhamasisha Kwa Bwana Leonardo Da Vinci?
Nimerudi Kwa Lugha Yetu [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo Nimekupata Mkuu!Ubunifu,msimamo wa kweli wa kiume,misemo ya kumfanya MTU asikate tamaa katika maisha.
Kusimamia ukweli,kutokubali kuyumbishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah, Yes!My hero is the father of all Bible expositers Mr. Derek Prince. He taught me what Christianity really means....
Tutajie Vitu Ghani Hivyo Vinakufanya Harmorappa Kuwa Role Model Wako?
Yah,kuna mengi ya huyu jamaa,nimetokea kumkubali toka kitambo sanaHapo Nimekupata Mkuu!
Kiukweli Hata Mimi Nimetokea Kuvutiwa Na Kazi Zake Za Kiubunifu Kama "Mona Lisa " Kwa Kutumia Painting Style Ya Sfumato.
Pia, Uwezo Mkubwa Wa Kiakili Aliokuwa Nao Huyu Bwana Ni Wa Kipekee Yaani Kwenye Sanaa Na Sayansi (Afya, Uhandisi, Miamba, Hesabu, Baiolojia, Bustani nk) Alifit Vizuri Mno.
Chakushangaza Alikuwa Ana Uwezo Wa Kutumia Mikono Yote Miwili Kwa Ulingani Sawa Kitaalamu Wanaitwa "Ambidexter "
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaha!Harbindher Singh Seth mtu wa mipango ndo role model wangu, yan kichwa kimoja kiliweza kuingia mikataba ya uongo na serikali mbili tofauti, Kenya na Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
anavyotukanwa nawatu na kukatishwa tama but still iko positif.Tutajie Vitu Ghani Hivyo Vinakufanya Harmorappa Kuwa Role Model Wako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah, Yes!
I've Once Heard About Him But For The Benefits Of People Here Could You Be So Kind As To Enlighten Us Who Really The Guy Was?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini huyu bwana amezungumzia "mtu" kwa maana ya binadamu. Kumhusisha Kristo hapa ni dharau kwa utukufu wa Mungu.
Mi role model wangu ni "watu wasiojulikana"
Natamani siku moja nikutane nao wanipe mbinumbinu...
Kuna watu ningekuwa nshawahamishia ahera, sema nashindwa kwakuwa najulikana...
Sipendi kuona watu wenye mioyo ya kikatili na wenye roho mbaya zilizopitiliza wakiendelea kuwatesa watu wasio na hatia hapa duniani... kwa sababu tu ya chuki za kisiasa.
Hapa najua Otorong'ong'o ataniunga mkono kwa mara ya kwanza.
Cc: wakatoliki wabobezi Sky Eclat Kaizer (choir master) snowhite mwalimu wa ukweli.