Nani tukacheze katitu?

na wewe kwa kubadili id hujambo,
u hali gani lakini? mbona wamtusi mkuu amekufanyeje tena?
 
Sijambo mpenzii..
Sijamtukana kabisa na siwez mtukana..

Nani alikuteka..?
na wewe kwa kubadili id hujambo,
u hali gani lakini? mbona wamtusi mkuu amekufanyeje tena?
 
Haujui katitu?

Ni muziki wa wakenya kwa jamii ya wakamba.

Utakutana na watu kama musyoki...

Karishi..
Huu muziki kwa Tz unapigwa saana Arusha ila kwa miaka hii naona wamepunguza.
ohoooo ok asante sana shem, ndo maana nakuhamu sana ujue ukiwa uko bze kule mahali
 
Ngja wenyewe waje wajuz wa mambo
 
Ile hela nishaipata ujue nasubiri ruhusa yako tu....
hahahahahahah nitumie kwanza niwe na uhakika
naamina namba unayo, lazima iandike kabisa jje's
kama sio reject hiyo itakuwa sio halali
 
ohoooo ok asante sana shem, ndo maana nakuhamu sana ujue ukiwa uko bze kule mahali
Teh
Shem najua umecheza saana katitu matejo.

Kuna wimbo wao mmoja wanasema n'goa n'goa kwamba wanaume tumekuwa wakatili kwenu hivyo wanawake mkituona popote mtun'goe nanii..

Cc pingli-nywee atuwekee jina la hiyo track nafikiri ni ya newton karishi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndo maana unabarikiwa pamoja na kupaa usiku asante sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji122] [emoji120] [emoji109] [emoji123] [emoji779] [emoji781]
 
Hata anaemvua chupi atakua kahaba kwa maana hiyo. Kuna wanaume washamba sana wanaona kukutanisha vikojoleo ni jambo kuuuuubwa wakati ni starehe tu hiyo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
mpaka mshahara utoke
 
Kwahiyo hii Laki moja na elfu arobaini ya mahali niitume kwenye namba yako au posta ya baba mkwe..?
hahahahahahah nitumie kwanza niwe na uhakika
naamina namba unayo, lazima iandike kabisa jje's
kama sio reject hiyo itakuwa sio halali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…