hahahahahhahaha shem mimi sijacheza bhana hizo kule matejoo kazi yetu kubwa ni kuhakikisha malapa yetu yako masafi na salama. kuna wakati tulikuwa tunayafunga na kufuli kabisa yasiibiweTeh
Shem najua umecheza saana katitu matejo.
Kuna wimbo wao mmoja wanasema n'goa n'goa kwamba wanaume tumekuwa wakatili kwenu hivyo wanawake mkituona popote mtun'goe nanii..
Cc pingli-nywee atuwekee jina la hiyo track nafikiri ni ya newton karishi
Hehehe πππ Samahani jombaa ila wimbo huo siufahamu. Eti ng'oa nini? ππ Nyimbo za Katitu zilikuwa zinasikizwa enzi zilee, siku hizi Karish ni mwakilishi wa bunge la kaunti ya Embu, maeneo ya Ml. Kenya. Anaimba katitu za kisiasa. π Ila kuna wimbo wake wa zamani huwa haunitoki akilini. 'Lovesong' alomuimbia mpenziwe akimueleza alivo useless na baseless na eti hakuwa hata na 'madiabaa' kabla ya Karish kumuoa. Chorus ndo matata, na ile lahaja yake ya kimbeere....karishi mwanamuembu sitafongeti yuwa mbiheviyaaaa. πTeh
Shem najua umecheza saana katitu matejo.
Kuna wimbo wao mmoja wanasema n'goa n'goa kwamba wanaume tumekuwa wakatili kwenu hivyo wanawake mkituona popote mtun'goe nanii..
Cc pingli-nywee atuwekee jina la hiyo track nafikiri ni ya newton karishi
nimetafuta kwenye ile kamusi uliyonipa hakuna!hahahahahahah na tusubiri tu hakuna ujanja hapa
Daah watu wanatoka mbali aseeh..Hehehe πππ Samahani jombaa ila wimbo huo siufahamu. Eti ng'oa nini? ππ Nyimbo za Katitu zilikuwa zinasikizwa enzi zilee, siku hizi Karish ni mwakilishi wa bunge la kaunti ya Embu, maeneo ya Ml. Kenya. Anaimba katitu za kisiasa. π Ila kuna wimbo wake wa zamani huwa haunitoki akilini. 'Lovesong' alomuimbia mpenziwe akimueleza alivo useless na baseless na eti hakuwa hata na 'madiabaa' kabla ya Karish kumuoa. Chorus ndo matata, na ile lahaja yake ya kimbeere....karishi mwanamuembu sitafongeti yuwa mbiheviyaaaa. π
hahahahahhaah umeangalia kwa haraka bhana, subiri ile mida ya mafunzo tutaeleweshana zaidinimetafuta kwenye ile kamusi uliyonipa hakuna!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hehehe πππ Samahani jombaa ila wimbo huo siufahamu. Eti ng'oa nini? ππ Nyimbo za Katitu zilikuwa zinasikizwa enzi zilee, siku hizi Karish ni mwakilishi wa bunge la kaunti ya Embu, maeneo ya Ml. Kenya. Anaimba katitu za kisiasa. π Ila kuna wimbo wake wa zamani huwa haunitoki akilini. 'Lovesong' alomuimbia mpenziwe akimueleza alivo useless na baseless na eti hakuwa hata na 'madiabaa' kabla ya Karish kumuoa. Chorus ndo matata, na ile lahaja yake ya kimbeere....karishi mwanamuembu sitafongeti yuwa mbiheviyaaaa. π
Mshana hizi katitu kuna baadhi ya nyimbo ni nzuri.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Ndo maana unabarikiwa pamoja na kupaa usiku asante sana