Kina mr nice ndiyo walizifunika... kwa Arusha kwenye vibanda umiza ikimalizika movie tunapewa ofa ya katitu...Aaaah kakitu, enzi hizooo hakuna hata bongofleva,
[emoji605]
Asee ile safari ya Meru walivotekwa nyara afu wakavuliwa nguo zote na kila kitu walichokuwa nacho, wahuni wakasepa nazo wakabakishiwa nguo kadhaa. Basi nzima waume kwa wake walipong'ang'ania zilizobaki Karish akaenda home na baika. Hehehe πDaah watu wanatoka mbali aseeh..
Hahaha wewe ni useless wewe ni baseless hahah naukumbuka unaitwa Tabu ni mbaya.
Kumbe Karish kawa MP! Nice to him.
Nazikumbuka saana track zake za kipindi hicho
Safari ya meru.
Tabu ni mbaya.. hahaha jamani tabu ni mbaya tabu ni mbayax2.
Wanjiro n.k .
Asante kwa taarifa pingli.[emoji106]
Wewe umezielewa sana mkuu, yaani hadi kwenye ma disco vumbi katitu ilikamata , kwenye vi kipaimara na viubarikio mtu ametoa cassette yake yake ya ma bettery nje na kistuli , [emoji16][emoji16]Kina mr nice ndiyo walizifunika... kwa Arusha kwenye vibanda umiza ikimalizika movie tunapewa ofa ya katitu...
Unaskia jamani tabu ni mbaya taabu ni mbaya jamani taabu ni mbaaya tabu mbayaa.
uzuri wa hizi nyimbo, composer wadeal na intonation rhythm na repitition.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]pichuuu jePoa vaa kaniki pekee
Naona tunguli za Leo zitakuwa na nguvu hatar2pa kule[emoji13] [emoji39] [emoji85]
Haya hayautanitag basi maana hata kwenye kamusi nimelikosa
hii sentensi imeshakamilika?Hata haya
Hata sijui nilikuwa nataka kusemajehii sentensi imeshakamilika?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mshana jnr haya mambo naona unayaelewa sana. Kwenu ndo kule Machakos ukambani nini? Huko katitu bado wanazichapa sana. Kawaida ya kumbi za katitu ikifika mida ya adults only, yaani midnight huwa hamna cha mke wa mtu wala nini. Bass gitaa ikichunwa tu ni full kusuguana. Hapo hata nafasi ya kukatika ngololo huwa hamna. Mwendo ni mkia nyuma kifua. Jashoo kwa wingi. Wengine huwa hadi wanalala chali, chini sakafuni. Yaani mwanamme chini mwanamke juu yake afu tena na mwanamme mwingine juu yake. Afu mistari inayotoka kwa mic ndo utajua Gomorra ni wapi. Unasikia kwa kikamba wanasema 'osa naku' yaani shika kitu, osaaaa! Hapo ukileta masihara demu wako unarudi naye home akiwa ameshika mimba. Wala hakuna yeyote ule aliyemvua nguo. Osaaa! πππ