NANI TUWEKEANE MAKUBALIANO YA KI-BIASHARA?

Pharmacy

Member
Joined
Jul 13, 2021
Posts
66
Reaction score
81
Wakuu poleni na mahangaiko ya kusaka heshima(💰)
Wakati naendelea kuwaza na kuwazua jinsi ya kujiwekea Heshima yaani kuwa na pesa,nikapata wazo la kilimo lkn hapo hapo nikakutana na changamoto ya soko la uhakika,,,Basi nikapata wazo la kuwahusisha nyie wadau wapenda maendeleo,
J ili kutatua changamoto ya soko la mazao ya kilimo haiwezekan sisi wenyewe kupeana hizo fursa?

Yaani mfano mm mkulima unakuja tunaandikiana MAKUBALIANO Kisha nalima zao unalotaka wewe kwa bei ya MAKUBALIANO pia Mimi nalima nikiwa na uhakika wa soko la uhakika nikiwa nalindwa na sheria pia na mteja wangu alindwe na sheria pia,
Mfano naweza kulima karanga,Soya-Beans,kunde nk wewe mteja hautanilipa chochote kabula ya mzigo kuwa tayari

Mnaonaje hilo wadau,maana soko limekuwa changamoto kubwa kwa wakulima!

Lkn sambamba na hilo,

Wewe una wazo la kufungua kiwanda mfano Cha biskuti zitokanazo na mbaazi,kunde,soya,karanga nk lkn unapata challenge ya mali-ghafi nipe Tenda hiyo nipige kazi hata ukitaka gunia elf 10 nitazalisha au tuwe hata wa5 kila mtu azalishe kwa uwezo wake lkn wote iwe tunazalishia mteja fulani chini ya usimamizi wa sheria tutakayojiwekea wenyewe!

Nawasilisha kwenu!!!✌🏼🙏✍️
 
Attachments

  • IMG-20250214-WA0017.jpeg
    IMG-20250214-WA0017.jpeg
    632 KB · Views: 1

Unaweza kulima maembe naonaga wananunua pale kiwanda cha bahalesa, maendeo ya vikindu kama sikosei naonaga maloli yamepakia maembe yapo foleni,
 
Ngoja Hilo nalo wazo zuri nitalifanyia kazi!!!
 
Unaweza kulima maembe naonaga wananunua pale kiwanda cha bahalesa, maendeo ya vikindu kama sikosei naonaga maloli yamepakia maembe yapo foleni,
Yes, sio maembe tu hata parachichi mzee, sema hajafatilia
 
Yaani mfano mm mkulima unakuja tunaandikiana MAKUBALIANO Kisha nalima zao unalotaka wewe kwa bei ya MAKUBALIANO pia Mimi nalima nikiwa na uhakika wa soko la uhakika nikiwa nalindwa na sheria pia na mteja wangu alindwe na sheria pia,
Mkuu… wazo lako naliheshimu.

Tatizo la nafaka hubadilika bei kila wakati, ivo ukisema ukubaliane na mfanyabiashara ili aje kununua kwa mkataba lazima mtakuja kugeukana tu.

Mf… saivi sokoni karanga KILO 1= elfu 4. Ina maana kwa mkulima ni elfu 2 hadi elfu 3.

Sasa unakubaliana na mnunuzi ili aje kununua baadae kwa KILO 1= 1,500 hadi 1,800. Tatizo linakuja kipindi hicho ambacho mmekubaliana bei unakuta imepanda! Je utakubali kuuza bei ambayo ipo kwenye makubaliano ambayo kwa kipindi hicho ukipiga hesabu ni bei ya hasara.

Je, hizo karanga zako utauza kwa bei ya kwenye makaratasi (mkataba)
 
Ina
Naomba pa kuanzia mkuu ukweli sikuwa najua ndio maana nikaandika huku

Natanguliza shukrani 🙏
Inategemea unataka kuanzia kwenye angle ipi sasa la soko, na lazima ufanye tathimi ya demand ya bidhaa yako ya kilimo kwanza kabla ya kwenda kwa hao tunaita high bider.
 
Na hii
Mkuu… wazo lako naliheshimu.

Tatizo la nafaka hubadilika bei kila wakati, ivo ukisema ukubaliane na mfanyabiashara ili aje kununua kwa mkataba lazima mtakuja kugeukana tu.

Mf… saivi sokoni karanga KILO 1= elfu 4. Ina maana kwa mkulima ni elfu 2 hadi elfu 3.

Sasa unakubaliana na mnunuzi ili aje kununua baadae kwa KILO 1= 1,500 hadi 1,800. Tatizo linakuja kipindi hicho ambacho mmekubaliana bei unakuta imepanda! Je utakubali kuuza bei ambayo ipo kwenye makubaliano ambayo kwa kipindi hicho ukipiga hesabu ni bei ya hasara.

Je, hizo karanga zako utauza kwa bei ya kwenye makaratasi (mkataba)

Mkuu… wazo lako naliheshimu.

Tatizo la nafaka hubadilika bei kila wakati, ivo ukisema ukubaliane na mfanyabiashara ili aje kununua kwa mkataba lazima mtakuja kugeukana tu.

Mf… saivi sokoni karanga KILO 1= elfu 4. Ina maana kwa mkulima ni elfu 2 hadi elfu 3.

Sasa unakubaliana na mnunuzi ili aje kununua baadae kwa KILO 1= 1,500 hadi 1,800. Tatizo linakuja kipindi hicho ambacho mmekubaliana bei unakuta imepanda! Je utakubali kuuza bei ambayo ipo kwenye makubaliano ambayo kwa kipindi hicho ukipiga hesabu ni bei ya hasara.

Je, hizo karanga zako utauza kwa bei ya kwenye makaratasi (mkataba)
Na hii ndio changamoto kubwa, lakin kama mkataba ata andaa uwe kwenye flexibility price adjustment kulingana na muda wa soko na uhitaji wala sio shida kikubwa awe na uhakika wa kupata serious Costumer
 
Wakuu poleni na mahangaiko ya kusaka heshima(💰)
Wakati naendelea kuwaza na kuwazua jinsi ya kujiwekea Heshima yaani kuwa na pesa,nikapata wazo la kilimo lkn hapo hapo nikakutana na changamoto ya soko la uhakika,,,Basi nikapata wazo la kuwahusisha nyie wadau wapenda maendeleo,
J ili kutatua changamoto ya soko la mazao ya kilimo haiwezekan sisi wenyewe kupeana hizo fursa?

Yaani mfano mm mkulima unakuja tunaandikiana MAKUBALIANO Kisha nalima zao unalotaka wewe kwa bei ya MAKUBALIANO pia Mimi nalima nikiwa na uhakika wa soko la uhakika nikiwa nalindwa na sheria pia na mteja wangu alindwe na sheria pia,
Mfano naweza kulima karanga,Soya-Beans,kunde nk wewe mteja hautanilipa chochote kabula ya mzigo kuwa tayari

Mnaonaje hilo wadau,maana soko limekuwa changamoto kubwa kwa wakulima!

Lkn sambamba na hilo,

Wewe una wazo la kufungua kiwanda mfano Cha biskuti zitokanazo na mbaazi,kunde,soya,karanga nk lkn unapata challenge ya mali-ghafi nipe Tenda hiyo nipige kazi hata ukitaka gunia elf 10 nitazalisha au tuwe hata wa5 kila mtu azalishe kwa uwezo wake lkn wote iwe tunazalishia mteja fulani chini ya usimamizi wa sheria tutakayojiwekea wenyewe!

Nawasilisha kwenu!!!✌🏼🙏✍️
Gentleman,
karanga, soya beans na kunde mbona haijawahi kukosa soko?

nadhani kwa kipindi kirefu sasa mazao hayo ni dili mno sokoni hususani dar es salaam na thamani yake haijawahi kushuka bali hupanda siku hadi siku,

nadhani soko lipo la uhakika.
Kuna viazi lishe vile vya njano pia soko lake ni la uhakika sana 🐒
 
Na hii

Na hii ndio changamoto kubwa, lakin kama mkataba ata andaa uwe kwenye flexibility price adjustment kulingana na muda wa soko na uhitaji wala sio shida kikubwa awe na uhakika wa kupata serious Costumer
Ni kweli ulichoandika ila tatizo hakuna mkulima anayeli lengo aje kupata hasara baada ya mavuno!

Kwa maana hyo bei ikibadilika na kuwa juu kuliko ile ya makubaliano lazima mkulima amgeuke mnunuzi.
 
Gentleman,
karanga, soya beans na kunde mbona haijawahi kukosa soko?

nadhani kwa kipindi kirefu sasa mazao hayo ni dili mno sokoni hususani dar es salaam na thamani yake haijawahi kushuka bali hupanda siku hadi siku,

nadhani soko lipo la uhakika.
Kuna viazi lishe vile vya njano pia soko lake ni la uhakika sana 🐒
Mkuu shukrani 🙏, ngoja hapo Napo nifanye research nitakurudia km utakuwa na la kushauri maana hapa nimejaribu kupitia serikali nikagundua changamoto ya leseni,vibali nk utaishia kuangushwa tu jumlisha mchako wa kuzalisha hiyo kitu Kisha utelekezwe Ni zaidi ya maumivu!!!
 
WanoNi kweli ulichoandika ila tatizo hakuna mkulima anayeli lengo aje kupata hasara baada ya mavuno!

Kwa maana hyo bei ikibadilika na kuwa juu kuliko ile ya makubaliano lazima mkulima amgeuke mnunuzi.
N maelewano kaka, kama inalipa hata kwa bei ya zaman we uza na uheshimu mkataba, hapo ndipo wengi wanapo feli mzee, na kama mkataba unatoa room ya price bargain sio shida kabisa n ile win win situation na kila mmoja apate
 
Mkuu… wazo lako naliheshimu.

Tatizo la nafaka hubadilika bei kila wakati, ivo ukisema ukubaliane na mfanyabiashara ili aje kununua kwa mkataba lazima mtakuja kugeukana tu.

Mf… saivi sokoni karanga KILO 1= elfu 4. Ina maana kwa mkulima ni elfu 2 hadi elfu 3.

Sasa unakubaliana na mnunuzi ili aje kununua baadae kwa KILO 1= 1,500 hadi 1,800. Tatizo linakuja kipindi hicho ambacho mmekubaliana bei unakuta imepanda! Je utakubali kuuza bei ambayo ipo kwenye makubaliano ambayo kwa kipindi hicho ukipiga hesabu ni bei ya hasara.

Je, hizo karanga zako utauza kwa bei ya kwenye makaratasi (mkataba)
Nashukuru pia naheshimu mawazo

Iko hivi mm kikubwa soko la uhakika,,,, twaweza kubaliana kuwa tutauziana kulingana na Bei iliyopo sokoni ukizingatia sihitaji advance yoyote kwake,,,,kikubwa nikiivisha siyo nianz kuwalisha kuku soya wakat hayakuwa malengo
 
Back
Top Bottom