Pharmacy
Member
- Jul 13, 2021
- 66
- 81
Wakuu poleni na mahangaiko ya kusaka heshima(💰)
Wakati naendelea kuwaza na kuwazua jinsi ya kujiwekea Heshima yaani kuwa na pesa,nikapata wazo la kilimo lkn hapo hapo nikakutana na changamoto ya soko la uhakika,,,Basi nikapata wazo la kuwahusisha nyie wadau wapenda maendeleo,
J ili kutatua changamoto ya soko la mazao ya kilimo haiwezekan sisi wenyewe kupeana hizo fursa?
Yaani mfano mm mkulima unakuja tunaandikiana MAKUBALIANO Kisha nalima zao unalotaka wewe kwa bei ya MAKUBALIANO pia Mimi nalima nikiwa na uhakika wa soko la uhakika nikiwa nalindwa na sheria pia na mteja wangu alindwe na sheria pia,
Mfano naweza kulima karanga,Soya-Beans,kunde nk wewe mteja hautanilipa chochote kabula ya mzigo kuwa tayari
Mnaonaje hilo wadau,maana soko limekuwa changamoto kubwa kwa wakulima!
Lkn sambamba na hilo,
Wewe una wazo la kufungua kiwanda mfano Cha biskuti zitokanazo na mbaazi,kunde,soya,karanga nk lkn unapata challenge ya mali-ghafi nipe Tenda hiyo nipige kazi hata ukitaka gunia elf 10 nitazalisha au tuwe hata wa5 kila mtu azalishe kwa uwezo wake lkn wote iwe tunazalishia mteja fulani chini ya usimamizi wa sheria tutakayojiwekea wenyewe!
Nawasilisha kwenu!!!✌🏼🙏✍️