watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
Uchaguzi uliopita Karia aliweza kutwaa kiti cha urais kwa mara ya pili kwa kuengua wapinzani wote kisha yeye mwenyewe kubaki kugombea.
kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Karia kashamaliza muda wake wa mihula miwili, hawezi kugombea tena.
Je ni nani atakuwa Rais mpya ?
Mnaangaika na uchaguzi kwenye mashirikisho ya mpira , Dunia ya mpira Haina demokrasiaUchaguzi uliopita Karia aliweza kutwaa kiti cha urais kwa mara ya pili kwa kuengua wapinzani wote kisha yeye mwenyewe kubaki kugombea.
kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Karia kashamaliza muda wake wa mihula miwili, hawezi kugombea tena.
Je ni nani atakuwa Rais mpya ?
Katiba waliibadili,atagombea tena!Uchaguzi uliopita Karia aliweza kutwaa kiti cha urais kwa mara ya pili kwa kuengua wapinzani wote kisha yeye mwenyewe kubaki kugombea.
kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Karia kashamaliza muda wake wa mihula miwili, hawezi kugombea tena.
Je ni nani atakuwa Rais mpya ?
Labda km Karia sio muafrica, na sio mtanzania, tabia za miafrika ni kung'ang'ania madaraka kwa hila yyt!kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Karia kashamaliza muda wake wa mihula miwili, hawezi kugombea tena.
Hivi jamaa aliiachaga u DED ?Ile ndio career ya Karia, kwa hiyo hawezi kutoka karibuni.
Hahahahaha,mpira ni kichaka cha wahuni na gang mafia,usidanganyike na Suti zao zile wanazovaaMnaangaika na uchaguzi kwenye mashirikisho ya mpira , Dunia ya mpira Haina demokrasia
Raisi wa fifa aligombea mwenyewe
Rais wa uefa aligombea mwenyewe
Rais wa CAF aligombea mwenyewe
Na uchaguzi huu karia atagombea mwenyewe na hakuna chochote kitatokea
Madai yake kama ya Nkurunzinza kuwa mabadiliko yataanza sasa kwa hiyo atagombea vipindi vingine viwiliUchaguzi uliopita Karia aliweza kutwaa kiti cha urais kwa mara ya pili kwa kuengua wapinzani wote kisha yeye mwenyewe kubaki kugombea.
kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Karia kashamaliza muda wake wa mihula miwili, hawezi kugombea tena.
Je ni nani atakuwa Rais mpya ?