Jamaa yangu alinunua gari kwa njia ya mtanda kisha akatumia kampuni ya Befoward ili ku clear na kumfikishia mahala alipo.
Ukweli ni kwamba alifikishiwa mkoani mahala alipo ila gari ilikuwa imenyofolewa vipuri muhimu kiasi kwamba ametumia ghalama kubwa sana kuiweka gari hiyo katika hali nzuri ya kuweza kutumika pasipo shida.
Alijaribu kulalamika kwenye ofisi ya Dar na hata Japan lakini hakupata msaada wowote.Waagizaji magari kwa njia ya mtandao chukueni tahadhali hii kamupuni siyo ya kuamini tena.