Nani wa kulaumiwa: BeFoward au kampuni iliyouza gari?

Be forward hawawezi kufanya upuuzi WA wizi hata siku moja,hizo accessories zina thamani gani Hadi be forward waibe?
huo wizi umefanywa na wapuuzi WAliofanya clearance hapo bandarini
Sasa jukumu la kufanya clearance na kulinda usalama wa mali ni la nani? Kama sio clearing and forwarding agent ambae kwa muktadha huu ni Beforward.
 
Be forward huwa ana kampuni maalumu ameingia nayo mkataba kwajili ya kufanya clearing pengine hawa ndiyo wamefanya wizi...
Mwaka juzi nilivyokuwa natoa gari kupitia SBT walinipa MTU wao(mfanyakazi WA kampuni inayofanya kazi ya clearance magari yote ya SBT Tanzania) huyu jamaa nilikomaa nae mpaka saa 5 usiku pale bandarini nakumbuka ilikuwa ijumaa na tulifanikiwa kutoa gari mbili SASA ebu fikiria Kama nisingekuwepo ingekuaje.
 
Jamaa yangu alinunua gari kwa njia ya mtanda kisha akatumia kampuni ya Befoward ili ku clear na kumfikishia mahala alipo.

Ukweli ni kwamba alifikishiwa mkoani mahala alipo ila gari ilikuwa imenyofolewa vipuri muhimu kiasi kwamba ametumia ghalama kubwa sana kuiweka gari hiyo katika hali nzuri ya kuweza kutumika pasipo shida.

Alijaribu kulalamika kwenye ofisi ya Dar na hata Japan lakini hakupata msaada wowote.Waagizaji magari kwa njia ya mtandao chukueni tahadhali hii kamupuni siyo ya kuamini tena.
Pole kwa madhira yaliyokupateni.

Ni aina gani ya gari ilikua, na je insurance mlikata kabla ya usafirishaji wa gari lenu?

Vipi kuhusiana na picha kabla ya kuagiza, mlihakikisha mmeangalia picha zote kwa ukaribu kabisa ?
 
Jamaa yangu alinunua gari kwa njia ya mtanda kisha akatumia kampuni ya Befoward ili ku clear na kumfikishia mahala alipo.

Ukweli ni kwamba alifikishiwa mkoani mahala alipo ila gari ilikuwa imenyofolewa vipuri muhimu kiasi kwamba ametumia ghalama kubwa sana kuiweka gari hiyo katika hali nzuri ya kuweza kutumika pasipo shida.

Alijaribu kulalamika kwenye ofisi ya Dar na hata Japan lakini hakupata msaada wowote.Waagizaji magari kwa njia ya mtandao chukueni tahadhali hii kamupuni siyo ya kuamini tena.
Kuna rafiki yangu aliagiza noah kupitia hii kampuni, kulipokea gari bandarini dar , Tairi zote hazikufaa kutoka gari hapo ubungo ni mbovu na ball joint zote miguu ya mbele zilikuwa zimekufa.
Ulichokisema mkuu Uko sawa sawa kabisa.
Wana ofisi kule Moshi Kilimanjaro, ina Japan mfanyakazi mmoja , Kila siku anatafutwa na wafanyakazi wa uhamiaji .
 
Sasa ile pre shipment inspection hua wanakagua vitu gani?
 
Kuna rafiki yangu aliagiza noah kupitia hii kampuni, kulipokea gari bandarini dar , Tairi zote hazikufaa kutoka gari hapo ubungo ni mbovu na ball joint zote miguu ya mbele zilikuwa zimekufa.
Ulichokisema mkuu Uko sawa sawa kabisa.
Wana ofisi kule Moshi Kilimanjaro, ina Japan mfanyakazi mmoja , Kila siku anatafutwa na wafanyakazi wa uhamiaji .
Ulipata report ya ukaguzi Japan? Gari ilikua ni ya mwaka gani na ilikua iko grade gani?
Maana kuna grade na watanzania wengi wanaagiza grade 4, 3.5 na 3.
Km ilikua ni grade 3 maana yake ni gari chakavu na wanakuambia kabisa.

Pia km uliagiza kutoka nchi nyingine tofauti na Japan napo ni shida
 
W

Tuwe tunaagiza magari ya grade 1
 
Sidhani kama ni wahuni ila kwa experience ya watu wachache naowajua, gari za hii kampuni ni unanunua at your own risk. Hawana gari nzuri kama kwa mfano TRUST (japanesevehicles.com) au enhance auto, realmotor, autocom. Kuna watu wawili gari zikikuja na hali mbaya, moja ikakataliwa na TBS, mpaka repairs fulani zifanyike. Ila hizi kampuni nyingine gari hata ikiwa na mileage kubwa bado inakuwa nzima sana.
 
hata mimi ndio nasikia leo upuuzi kama !!!!...watu waanagiza magari zaidi ya 200 kwa hawa beforward na yanafika kwa usalama wa hali ya juu kbs ...au unataka kuichafua tu hii kampuni inayoaminika kwa nchi nyingi tu barani afrika!???
Nimeshangaa Sana mtoa mada nimeagiza gari 9 na hawa jamaa, Tena unalipia kwenye akaunti zao zilizopo TZ. Japo COVID-19 Ila mzigo umafika salama. Unapata update kila hatua, kuanzia gari kuwa RESERVED, kupakiwa melini, kuondoka meli (tarehe ya meli kufika) n.k
 
Back
Top Bottom