Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BE FOWARD WANAONGOZA KUIBA SPARE TYRESMfano vitu gan waliiba?
Nawaamini sana be foward kuliko makupuni ya watu binafsi yamejaa ujanja wizi na upigaji mwingi be foward waliniagizia mazda cx 5 yangu ,niliikuta kwao iko poa wameshalipia kila kitu ...acha kuwachafulia be fowardJamaa yangu alinunua gari kwa njia ya mtanda kisha akatumia kampuni ya Befoward ili ku clear na kumfikishia mahala alipo.
Ukweli ni kwamba alifikishiwa mkoani mahala alipo ila gari ilikuwa imenyofolewa vipuri muhimu kiasi kwamba ametumia ghalama kubwa sana kuiweka gari hiyo katika hali nzuri ya kuweza kutumika pasipo shida.
Alijaribu kulalamika kwenye ofisi ya Dar na hata Japan lakini hakupata msaada wowote.Waagizaji magari kwa njia ya mtandao chukueni tahadhali hii kamupuni siyo ya kuamini tena.
Niliagiza kutoka Japan kupitia be-forwardUlipata report ya ukaguzi Japan? Gari ilikua ni ya mwaka gani na ilikua iko grade gani?
Maana kuna grade na watanzania wengi wanaagiza grade 4, 3.5 na 3.
Km ilikua ni grade 3 maana yake ni gari chakavu na wanakuambia kabisa.
Pia km uliagiza kutoka nchi nyingine tofauti na Japan napo ni shida
mshukuru sana max kuweka privacy kwenye user name zetu hao jamaa wame build trust miaka 10+ sasa,na ni kampuni ambyo nimeshaagiza gari 20 mpka sasa.
kama wakisema wakufngulie mashtaka kwa kuharibu reputation yao dah mzee watakufirisi wewe na ukoo wenu mzma
Unamtisha Nani?Mnanigopesha jamani...nlitaka kuagiza kwa kutumia kampuni hiyo ila nshagairi
Hii Maada nimeshare link na Beforward kanda ya kaskazini.mshukuru sana max kuweka privacy kwenye user name zetu hao jamaa wame build trust miaka 10+ sasa,na ni kampuni ambyo nimeshaagiza gari 20 mpka sasa.
kama wakisema wakufngulie mashtaka kwa kuharibu reputation yao dah mzee watakufirisi wewe na ukoo wenu mzma
unajuaje kama ni grade 1?W
Tuwe tunaagiza magari ya grade 1
Auction Grade : This is the general evaluation grade of the car condition. (0~5)unajuaje kama ni grade 1?
mbona hueleweki si umesema tununue grade 1?Auction Grade : This is the general evaluation grade of the car condition. (0~5)
Grade 0 : Heavy damaged car that can’t be evaluated
Grade 2 : Not so good
Grade 3 : Better but some little damages
Grade 3.5 : Normal
Grade 4 : Fine
Grade 4.5 : Very fine
Grade 5 : Almost brand new car
Elewa hii grading system, gari grade 1 hilo hata TBS hawatalipitisha. Aliyesema ununue grade 1 alikuwa anapuyanga au alipitiwa kidogombona hueleweki si umesema tununue grade 1?
Naomba unioneshe wapi nimesema ununue grade 1mbona hueleweki si umesema tununue grade 1?
KabisaWhat you see is what you get from BF. Hawa nilikuwa siwaelewi mwanzo ila baada ya kuwatumia mara kadhaa wamekuwa chaguo langu la kwanza! Ku deal na BF naona kama naagiza gari kwa mshkaji tu. Nawakubali sana.
Kuna rafiki yangu aliagiza noah kupitia hii kampuni, kulipokea gari bandarini dar , Tairi zote hazikufaa kutoka gari hapo ubungo ni mbovu na ball joint zote miguu ya mbele zilikuwa zimekufa.
Ulichokisema mkuu Uko sawa sawa kabisa.
Wana ofisi kule Moshi Kilimanjaro, ina Japan mfanyakazi mmoja , Kila siku anatafutwa na wafanyakazi wa uhamiaji .
Hata mimi nawatetea be forward hawana huo uhuni nimesha watumia zaid ya mara 3 kuagiza gari nanzilifika salama kabisa kama nilivyo ziona kwenye picha.Beforward hawana huo uhuni aisee
Wewe ni muongo tena sana na hapa umekuja kwa lengo la kuwachafua kuwaharibia biashara be forward na huenda huna hata rafiki yako aliye wahi kuagiza gari huko,jama ya aliletewa gari bovu sana engine inagonga kwenda ilala akaambiwa engine used ni 2ml alipata wakati mgumu msana hawa Be forward sio kabisa wakisha kupiga hata ufanyeje awaangaiki na wewe wanakuambia garili lako hilo tusizoeane.